Mama swala la umeme litakuchafua!

Mama swala la umeme litakuchafua!

Waziri wa mchongo alisema baada ya siku mbili atatoa suluhisho la kudumu,mpaka leo sijawahi kumuona tena.

Mhuni kakabidhiwa wizara unategemea nini?
 
Huku niliko sumu wingu au mvua,umeme lazima ukate
 
Yaani mgao wa umeme hata wakiufanya Mwaka mzima unadhani tutawafanya Nini mkuu?

Tume Ni Yao,usalama Ni wao.Wanatufanyia hisani tu mzee maana hatuna Cha kufanya zaidi ya kulia Lia tu mzee.
Hata wakiamua kuzina kabisa mpaka wakati wa uchaguzi mkuu 2025 hatuna cha kuwafanya,na wakiamua watapita bila kupingwa majimbo yote na ushindi mnono wa 99.99% wa urais
 
UWENDA wmeagiza mitambo mipya ya KUFUA UMEME(digital)na itafungwa haraka mara Itakapowadia,,na tatizo la kukatika umeme LITAKUA historia,,NAWAZA TU
Kama si kuwaza utakuwa ndotoni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Waziri mwenye dhamana ya Umeme alitoka kwenye hadhara akasema "Umeme unazima kwa sababu tunanya Maintenance ya Mitambo, awamu ya 5 watu walikuwa hawafanyi Maintenance kwa kuogopa kufukuzawa kazi" Dah January hivi unatuonaje ss watanzania?
Wewe ni mtaalamu wa umeme kiasi unaamini Hilo haliwezekani!!?..una taarifa za umeme ambazo Waziri Hana!!?...unadhani serikali imependa na imerdhia umeme usiwepo ili ilaumiwe!!!?
 
Ile Software ya Waziri wa mchongo bado haijaleta matokeo chanya???

Ninachosikitika ni kuwa kumbe kuna watu bado mnaamini ccm wana kitu kipya hahah nehie.
 
CCM- chama cha machafu, ungeliijua maana yake sidhani kama ungemuona huyo mama msafi, ccm wote wachafu, wanachozidiana ni kiwango cha uchafu.
 
Yaani mgao wa umeme hata wakiufanya Mwaka mzima unadhani tutawafanya Nini mkuu?

Tume Ni Yao,usalama Ni wao.Wanatufanyia hisani tu mzee maana hatuna Cha kufanya zaidi ya kulia Lia tu mzee.
Huu ukweli unaumiza sana.

Lakini ndo ukweli, hakuna kitu tunaweza kufanya.

Tuombe tu IKIWAPENDEZA WAWEZE ku solve hizo changamoto.
 
Umeme umekuwa anasa kwenye taifa la wadanganyika
 
Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia.

Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.
Nchi nzima umeme unawaka. Kwako tu una matatizo hujalipia LUKU unakuja kulalamika huku.
 
Yaani mgao wa umeme hata wakiufanya Mwaka mzima unadhani tutawafanya Nini mkuu?

Tume Ni Yao,usalama Ni wao.Wanatufanyia hisani tu mzee maana hatuna Cha kufanya zaidi ya kulia Lia tu mzee.
Mshangae huyo jamaa. Ashukuru Hata Jua linawaka. Ipo siku Watawana na CCM wakiamua watalizima
 
Ukiacha hali ikawa hivi jua kwenye picha unaonekana wewe na sio wao!. Mtangulizi wako hakuwa malaika kusema labda kuna nguvu ya ziada aliitumia kufanya mambo yaende sawa!,alikalia kiti ulichokalia.

Heri ya sikukuu ya Christmas na mwaka mpya kwako na kwa serikali yako.
Ishu ni jee anajali?

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
UWENDA wmeagiza mitambo mipya ya KUFUA UMEME(digital)na itafungwa haraka mara Itakapowadia,,na tatizo la kukatika umeme LITAKUA historia,,NAWAZA TU
Waza ukijua kuwa January anautaka Uraus 2025, na anajua Mama nae keshaonja utamu wa kiti..... ndipo hapo unafiki wa siasa hutaradari!!
 
Back
Top Bottom