Mambo
Jana bwana nipo zangu maghettoni nakula movie mpangaji mwenzangu akawa ameenda kumuogesha mtoto wake sasa dogo alitangulia maliwatoni huku mama akimalizia shughuli zake.. Mara dogo akawa anacheza bafuni
Mama: (Kwa sauti ya ukali) we Eddie acha kurukaruka huko bafuni utaanguka
Lakini si unajua utoto kazi ndio kwanza akendeleza michezo
Mara baada ya dk kadhaa sauti ikasikika toka bafuni
Eddie :Mama tayari nimeanguka
Hahaha mi mbavu Sina
Eddie made my day