Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
“Mara nyingi watoto wetu wa sasa wanafahamu mambo mengi, hiki ni kizazi cha teknolojia; si enzi za Mama Terry…tunapaswa tuzungumze nao na pia tuwasikilize, siyo mtu aongee halafu kesho au saa nane usiku anatekwa, kisha mzazi asiulize mwanangu yuko wapi. Nitauliza! Utekaji ukiisha, nchi hii mambo mengi sana yatapungua.”
Akizungumza leo Desemba 3, 2025 jijini Dodoma wakati akitoa maoni juu ya tamko la JMAT, Mama Terry amesema kuwa kizazi cha sasa cha vijana kina ufahamu mkubwa kutokana na maendeleo ya teknolojia, hivyo kinahitaji kusikilizwa badala ya kudhibitiwa kwa vitisho.