Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Enzi za Mama Terry Radio One Stereo 89.5 FM - Mada Ukimwi na Jamii.“Mara nyingi watoto wetu wa sasa wanafahamu mambo mengi, hiki ni kizazi cha teknolojia; si enzi za Mama Terry…tunapaswa tuzungumze nao na pia tuwasikilize, siyo mtu aongee halafu kesho au saa nane usiku anatekwa, kisha mzazi asiulize mwanangu yuko wapi. Nitauliza! Utekaji ukiisha, nchi hii mambo mengi sana yatapungua.”
Akizungumza leo Desemba 3, 2025 jijini Dodoma wakati akitoa maoni juu ya tamko la JMAT, Mama Terry amesema kuwa kizazi cha sasa cha vijana kina ufahamu mkubwa kutokana na maendeleo ya teknolojia, hivyo kinahitaji kusikilizwa badala ya kudhibitiwa kwa vitisho.
Huyu mama nilikua namsikia sikia nikiwa sekondari, hua ananyooka sana, kuna kipindi aliwaambia wabunge ndio wanaongoza kwa umalaya pale Dodoma, nadhani aliitwa bungeni kuhojiwa kwa kauli yake.Enzi za Mama Terry Radio One Stereo 89.5 FM - Mada Ukimwi na Jamii.
Hahaaa mama alikuwa kanyooka kama rula.Huyu mama nilikua namsikia sikia nikiwa sekondari, hua ananyooka sana, kuna kipindi aliwaambia wabunge ndio wanaongoza kwa umalaya pale Dodoma, nadhani aliitwa bungeni kuhojiwa kwa kauli yake.
Anasema wanaume wanakufa kizembe kwa kakitu cha mwanamke hakajai hata Kiganja
SanaHahaaa mama alikuwa kanyooka kama rula.
Kama kuna tuzo ya Mwanaharakati wa Tanzania aliepambania jamii dhidi ya ukimwi basi Mama Tery anastahili.Huyu mama nilikua namsikia sikia nikiwa sekondari, hua ananyooka sana, kuna kipindi aliwaambia wabunge ndio wanaongoza kwa umalaya pale Dodoma, nadhani aliitwa bungeni kuhojiwa kwa kauli yake.
Anasema wanaume wanakufa kizembe kwa kakitu cha mwanamke hakajai hata Kiganja
Mzalendo wa kweli hutanguliza maendeleo ya taifa kuliko hisia, chuki au ubinafsi, na hata anapokuwa na tofauti za kisiasa, kikabila au binafsi, hatumii mianya hiyo kuharibu au kuchelewesha ustawi wa nchi. Badala yake, hutafuta suluhu, ushirikiano na njia za kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya wote. Ni mtu anayekataa kushiriki vitendo vinavyozorotesha taifa kama ubaguzi, uchochezi au uvunjifu wa amani, bali hupigania haki kwa njia halali, za amani na zenye kujenga. Kwa mtazamo wake, maslahi ya nchi huja kwanza, na tofauti za watu huchukuliwa kama changamoto zinazoweza kushughulikiwa bila kuhatarisha umoja na maendeleo ya taifa. #KAZINAUTUTUNASONGAMBELE #TANZANIA #UZALENDO
View attachment 3510939
Ndio huyu mkongwe?Enzi za Mama Terry Radio One Stereo 89.5 FM - Mada Ukimwi na Jamii.
Huu mda unaopoteza bora ungeingia bafuni ukajipiga kimoko cha mkonoMzalendo wa kweli hutanguliza maendeleo ya taifa kuliko hisia, chuki au ubinafsi, na hata anapokuwa na tofauti za kisiasa, kikabila au binafsi, hatumii mianya hiyo kuharibu au kuchelewesha ustawi wa nchi. Badala yake, hutafuta suluhu, ushirikiano na njia za kufanya kazi pamoja kwa manufaa ya wote. Ni mtu anayekataa kushiriki vitendo vinavyozorotesha taifa kama ubaguzi, uchochezi au uvunjifu wa amani, bali hupigania haki kwa njia halali, za amani na zenye kujenga. Kwa mtazamo wake, maslahi ya nchi huja kwanza, na tofauti za watu huchukuliwa kama changamoto zinazoweza kushughulikiwa bila kuhatarisha umoja na maendeleo ya taifa. #KAZINAUTUTUNASONGAMBELE #TANZANIA #UZALENDO
View attachment 3510939
Ndio huyu mkongwe?
Kabisa huyu mama anastahili sanaKama kuna tuzo ya Mwanaharakati wa Tanzania aliepambania jamii dhidi ya ukimwi basi Mama Tery anastahili.
“Mara nyingi watoto wetu wa sasa wanafahamu mambo mengi, hiki ni kizazi cha teknolojia; si enzi za Mama Terry…tunapaswa tuzungumze nao na pia tuwasikilize, siyo mtu aongee halafu kesho au saa nane usiku anatekwa, kisha mzazi asiulize mwanangu yuko wapi. Nitauliza! Utekaji ukiisha, nchi hii mambo mengi sana yatapungua.”
Akizungumza leo Desemba 3, 2025 jijini Dodoma wakati akitoa maoni juu ya tamko la JMAT, Mama Terry amesema kuwa kizazi cha sasa cha vijana kina ufahamu mkubwa kutokana na maendeleo ya teknolojia, hivyo kinahitaji kusikilizwa badala ya kudhibitiwa kwa vitisho.
Wanafanywaje???Kila anayetekwa anafirwa? Mpaka wamalize nchi itakuwa ya wacenge watupu.
Badala kujadili kuandamana kumtoa mkoloni mnauziwa woga mnaanza kujadili ujinga.