dah!wabongo bwana!..Mama Terry bana kuna siku alikuwa alikuwa analalamika kuwa kuna watu walikuwa wanampigia sana simu kujifanya kama vile wanataka ushauri kumbe wanamuomba mzigo.. Lakini kabla ya hapo nikuwa sijamuona yule mama alivyo...lakini nilikutana naye sehemu moja hivi kwenye sherehe ndio nikagundua kwa nini watu wanamsumbua kwa simu..amefungasha sijui alipokuwa na miaka 22-25 alifananaje??? ningekuwa miongoni mwao tu!!!
Mimi naikumbuka shepu yake tu....
Na juice ya mchicha..............
Hapo kwenye nyekundu kulikuwa na umuhimu wowote wa kuyaandika hayo ama basi tu na wewe unataka kuonekana unamjua sana huyu mama?yadaiwa hyu mama ni wa ta, (waondoka leo waja leo) ni wale wa "korogwe girls!!"
alipata kuolewa na mnaigeria fulani aitwae gbemudu na miaka ya kati 1990's hivi huyu mnaigeria aliondoka tz. Haileweki what went wrong on the family na kama bado mahusiano yapo.
umahiri wa huyu mama kwenye vita dhidi ya "ngoma" na ujasilimali ulikuwa kiboko!!!.
wapi mama terry????
ooh!mama Terry anaishi Naigeria kwa mwanae, last time nilionana naye dodoma August 2008, alikuwa anauza mabazee yale ya naigeria origino, akasema anataka kuwaleta P-squre bongo (by that time hawa jamaa walikuwa hawajatia mguu bongo), na akaniambia anatamani sana kuanzisha talk show ya wanawake especially kwenye mavazi. Kwa mtazamo wake wanawake wa kibongo (wamama) hata wenye mihela yao ya kutosha hawajui kuvaa. I mean watu wana posa za kutosha kununua nguo za bei ila hawajui mavazi gani yanawatoa. We talked a lot, na alikuwa ana machungu sana na ccm, itr seems walimfanyia kitu mbaya japo hakusema. thats what i know.
..Mama Terry bana kuna siku alikuwa alikuwa analalamika kuwa kuna watu walikuwa wanampigia sana simu kujifanya kama vile wanataka ushauri kumbe wanamuomba mzigo.. Lakini kabla ya hapo nikuwa sijamuona yule mama alivyo...lakini nilikutana naye sehemu moja hivi kwenye sherehe ndio nikagundua kwa nini watu wanamsumbua kwa simu..amefungasha sijui alipokuwa na miaka 22-25 alifananaje??? ningekuwa miongoni mwao tu!!!
Wakuu,
Nisaidieni kujua huyu mama Terry kwa sasa hivi yuko wapi? Na nini kilitokea mpaka akapotea kabisa kwenye publicity.
Nawasilisha...
Hi mmenikumbusha kitu hapo. Kwani Misanya naye yu wapi? majibu tafadhali.
Hi mmenikumbusha kitu hapo. Kwani Misanya naye yu wapi? majibu tafadhali.
Hi mmenikumbusha kitu hapo. Kwani Misanya naye yu wapi? majibu tafadhali.
Misanya ni TA pale UDSM
Nadhani Joyce Mhavile wa ITV anajua kilichomsibu na alipo sasa huyu mama.
Kwanini asiwe Misanya Bingi ndiyo anajua aliko Mkuu.
Naungana na aliyemtaja Joyce, maana walihojiwa kwa pamoja na kamati ya bunge, lakini misanya walikuwa wanakutana studio tu.MSANII, NA DMAUJANJA,
Kwani Joyce na Misanya wanahusikaje na maisha ya binafsi ya Mama Terry?
Hata mimi ninashauku kujua aliko mama Terry na kulikoni ukimya huu.
wewe tueleze yuko wapi, maana wengine hatujui kutuma PMMama Terry yupo hapa Jamii Forum kila siku !! Mwenye kumhitaji please ani PM kwa taarifa zaidi.
Hapo kwenye nyekundu ni kweli kabisa mkuu, maana nikimkumbuka MASUMBUKO LAMWAI........ MI CHICHEMI........ eti sasa hivi ni mwanasheria mkuu wa chama chetu........... wee acha tuu............. Maana walianza na uhadhili wa chuo... (akatimuliwa)........... wakafuata leseni ya uwakili........... (akanyang'anywa)..........Akakimbilia ZENJIBARI.......Wakamfuata huko huko............... wakahakikisha anapata shida........... MASIKINI LAMWAI IKABIDI AJISALIMISHE............. AKARUDI KUNDINI................ Nahisi haya au yanayofanana na haya yamemtokea mama Terry.Misanya Bingi ameajiriwa kwa mkataba taasisi moja ya serikali kwa sasa. Nafikiri anahusika na masuala ya publications. Taarifa zaidi nitawapata pale nikihakikisha kabisa contract yake inasemaje. Kuna jamaa yangu wa karibu anafanya kazi naye.
Kwa kweli Tanzania kwa vitisho na kesi za kubambikiza kwa wale wanaoenda kinyume na matakwa yake ni kiboko. Tutakukumbuka mama Terry kwa mchango wako katika harakati za kutibu optimistic diseases za ukimwi.