LiverpoolFC
JF-Expert Member
- Apr 12, 2011
- 11,483
- 3,369
WanaJF! Ndg zanguni! Bado haijanitoka akili misemo ya ukali,misisitizo ya huyu mama terry ktk kipindi cha kila wiki mara 2 yani j'5&j'mosi kuanzia saa moja na nusu mpaka saa tatu asubuhi bila ya kukosea,kinachonifanya nimkumbuke sana ni msisitizo wake kuhusu mambo ya juisi."HATA VIAZI MVIRINGO MGANDA YAKE NI NZURI SANA KWA JUISI & HATA MAGANDA YA MABOGA NI NZURI SANA KWA JUISI: NB,Hata mtu akiweza kunywa mkojo yake ile ya kwanza asubuhi,,,,,,,,,,,,,,,,,ni nzuri sana! Sasa kwa kuwa nipo ndani ya JF yenye kila idara ikiwa na wataalam kedekede naomba mwenye kujua ikiwezekana mwenye contact yake aniPM halafu nimwulize mawili matatu kwn Mi naona kama alikuwa anapotosha jamii. Hata hili aliweka msisitizo: USILE NYAMA YOYOTE YA WANYAMA KAMA NG'OMBE NA JAMII YAKE,eti kwa sababu wanakula majani nawananenepata na hata sisi twaweza kula majani na tukanenepata. Jamani mwenye mawasiliano yake anipatie kwaPM niseme naye angalau kiduchu tu. Hii iko jinga sana!