Hapo kwenye nyekundu kulikuwa na umuhimu wowote wa kuyaandika hayo ama basi tu na wewe unataka kuonekana unamjua sana huyu mama?
Ooooh! Afadhali sasa wewe umeanza kuongea kitu hapa. Aje haraka bwana.mama terry yupo dar. Anakamilisha taratibu za mwisho za kuanzisha kipindi chake chini ya kampuni yake inayoitwa Brightlight Reality Show Company. Kipindi kitaitwa Ndoto yako reality show na kitaanza kurushwa kwenye television ya TBC1 hivi karibuni.
mama terry yupo dar. Anakamilisha taratibu za mwisho za kuanzisha kipindi chake chini ya kampuni yake inayoitwa Brightlight Reality Show Company. Kipindi kitaitwa Ndoto yako reality show na kitaanza kurushwa kwenye television ya TBC1 hivi karibuni.
Tatizo la wabongoAlitaka kutumia ukimwi kupata umaarufu na baada ya kuwa maarufu akatafuta nafasi ya kugombea uongozi ndani ya CCM masikini hakijua CCM na jumui zake zina wenyewe wakampitilizia mbali naye ndo ukawa mwisho wake na sasa ana ugwadu na CCM,kosa kubwa huyu mama alijenga matumaini makubwa kuwa tayari ni alwatani ,wapi? Habari ndio hiyo nahuo ndio ukawa mwisho wa mama Terry malengo yake yaliishia hewani
mama terry yupo dar. Anakamilisha taratibu za mwisho za kuanzisha kipindi chake chini ya kampuni yake inayoitwa Brightlight Reality Show Company. Kipindi kitaitwa Ndoto yako reality show na kitaanza kurushwa kwenye television ya TBC1 hivi karibuni.
yaaani mama hasikiki popote sijui yuko wapi aendelee kutupa Tiba Mbadalamimi mama Terry alikua ananiacha hoi na therapy yake ya mkojo wa asubuhi, daah hii ilinishangaza, kupitia Radio One sterio siku ya Alhamis. mmh hapana ilikua dawa kali sana.
naomba kuuliza hicho kipindi bado hakijakamilika mpaka leo????????????????????????
mimi mama Terry alikua ananiacha hoi na therapy yake ya mkojo wa asubuhi, daah hii ilinishangaza, kupitia Radio One sterio siku ya Alhamis. mmh hapana ilikua dawa kali sana.
uandishi mwingine unakuwa na utata kwelikweli, ulivyoanza, mimi nijua wewe ndio mama terry
wewe tueleze yuko wapi, maana wengine hatujui kutuma PM