Mama Terry yuko wapi?

WanaJF! Ndg zanguni! Bado haijanitoka akili misemo ya ukali,misisitizo ya huyu mama terry ktk kipindi cha kila wiki mara 2 yani j'5&j'mosi kuanzia saa moja na nusu mpaka saa tatu asubuhi bila ya kukosea,kinachonifanya nimkumbuke sana ni msisitizo wake kuhusu mambo ya juisi."HATA VIAZI MVIRINGO MGANDA YAKE NI NZURI SANA KWA JUISI & HATA MAGANDA YA MABOGA NI NZURI SANA KWA JUISI: NB,Hata mtu akiweza kunywa mkojo yake ile ya kwanza asubuhi,,,,,,,,,,,,,,,,,ni nzuri sana! Sasa kwa kuwa nipo ndani ya JF yenye kila idara ikiwa na wataalam kedekede naomba mwenye kujua ikiwezekana mwenye contact yake aniPM halafu nimwulize mawili matatu kwn Mi naona kama alikuwa anapotosha jamii. Hata hili aliweka msisitizo: USILE NYAMA YOYOTE YA WANYAMA KAMA NG'OMBE NA JAMII YAKE,eti kwa sababu wanakula majani nawananenepata na hata sisi twaweza kula majani na tukanenepata. Jamani mwenye mawasiliano yake anipatie kwaPM niseme naye angalau kiduchu tu. Hii iko jinga sana!
 
Inaonekana majibu unayo ingawa imekuchukua muda kuyafikia na pia umeshamhukumu ujinga ,sioni mantiki ya mawasiliano nae.anyway jaribu kuwasiliana na warusha vipindi vyake.
 
Nakunmbuka mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2005 huyo mama alipoamua kujikita kwenye siasa na kujaribu kugombea Ubunge kwa tiketi ya ccm(sikumbuki jimbo) lakini alimbwagwa vibaya sana.
Na huo ndio ukawa mwisho wake.
 
duuh, ongea na eatv, hasa kipindi cha wanawake live cha joyce kiria mkongo...alikuwa naye juzijuzi.....
 
Nakunmbuka mara ya mwisho ilikuwa mwaka 2005 huyo mama alipoamua kujikita kwenye siasa na kujaribu kugombea Ubunge kwa tiketi ya ccm(sikumbuki jimbo) lakini alimbwagwa vibaya sana.
Na huo ndio ukawa mwisho wake.

Duh! Mkuu! Hebu rudisha kumbukumbu vema kama alikuwa anagombea jimbo gani mara ya mwisho!
 
Njmegongangana nae karikoo leo akinunua viazi amefunga si mchezo sidhan bado ana ka ngo chake baada ya jamaa fulan kukata line ndio ilikuwa ikimpa nguvu ya kuongea redion
 
mi nakumbuka aliwah kuwashutumu wabunge kuwa ndo wateja wakubwa wa cd, wakamwita akathibitishe! Hapakutosha
 
Njmegongangana nae karikoo leo akinunua viazi amefunga si mchezo sidhan bado ana ka ngo chake baada ya jamaa fulan kukata line ndio ilikuwa ikimpa nguvu ya kuongea redion

Mkubwa! Ni yeye kweli ama umemfananisha!
 
Mama Terry alikuwa mtafutaji wa kawaida tu. Alitaka kutumia usupastaa wa kibongo kuukwaa ubunge akanoa na kuvunjika moyo. Mbona bongo akina mama Terry wengi wanaoibuka na kuzama? Mnakumbuka wale waganga wa kienyeji waliokuwa wakijiita madaktari hata kudhamini vipindi radioni wakati ni vihiyo na matapeli wa kawaida. Baada ya kustukiwa hawasikiki. Ni usanii tu na kuganga njaa. See you.
 
Mpayukaji! Kwa kweli kama alikuwa mtafutaji,hakika huyu km ningeweza mpata hewani nina mengi ya kumwuliza. Kwnn adanganye umma kwa mambo yake ambayo hayapo? Ngoja niwasubiri wadau maana lazima kuna mmoja tu anayemjua mpk anakolala.
 
Mara ya mwisho nakumbuka huyu mama alifumaniwa na mume wa mtu ambae alikua kondakta, kwa sasa cjui alipo cause ilikua mda mrefu xana
 
mara ya mwisho nakumbuka huyu mama alifumaniwa na mume wa mtu ambae alikua kondakta, kwa sasa cjui alipo cause ilikua mda mrefu xana

na yeye si mke wa mtu hope they deserve
 
Mpayukaji! Kwa kweli kama alikuwa mtafutaji,hakika huyu km ningeweza mpata hewani nina mengi ya kumwuliza. Kwnn adanganye umma kwa mambo yake ambayo hayapo? Ngoja niwasubiri wadau maana lazima kuna mmoja tu anayemjua mpk anakolala.

ninavyokujua wewe ni bora usipewe namba maana hujuagi kupindisha hivyo usije kumkwaza bure mkuu labda yote yale ilikuwa njaa.
 
Wa TZ bana, wengi waliondokea kuhadaika nae sana na maushauri yake, hakuwa mtaalamu wala nn, mambo ya uzoefu tu, na that time ilikuwa mtu kuonekana runingani hata ukiongea upupu unaonekana unajua sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…