Naangalia TBC1 muda huu. Namuona mama Teri na Marin Hassan na mtu mwingine. Wanaongelea Al Shabaab, kuuwawa kiongozi wao, wananchi wa Nigeria kaskazini kuwakubali hao AS, etc.
Hata hivyo, nimewaza kuhusu ilim ya lishe alokua akitoa Mama Teri. Mbona ye haonekani kama ana afya? Kajaziana sana (muniwie radhi kama na-attack personality).
Wakati ule akiongelea tiba ya mkojo alikua anatuingiza chaka?