Mama Terry yuko wapi?

Mama Terry yuko wapi?

Kummshambulia mtu katika mambo binafsi hivi (kuhusu afya yake na ndoa yake) si uungwana. Fikiria wewe ukitendewa hivi!
 
Halafu kuna huyu Mama Terry sijui hanizimii..
Ye kila siku aniniponda kwenye magazeti na tivii..
 
TBC nayo ni TV ya kuangalia..? Labda vichaa

Kuna tetesi kuwa kila bin Adam ana ukichaa kwa asilimia fulani. Na Kuna wakati huamka kujidhihirisha.

Vichaa halisi, ukichaa wao umezidi sana ile hali ya utimamu. Nao pia kuna nyakati fulani utimamu wao hujidhihirisha.
 
Kummshambulia mtu katika mambo binafsi hivi (kuhusu afya yake na ndoa yake) si uungwana. Fikiria wewe ukitendewa hivi!

kweli mkuu kwanini watu tunashindwa kujadili vitu vya muhimu . vijana wa .nyambari katuharibia vijana. kutoa hoja hawawezi kabisa zaidi ya matusi na kashifa.
 
nzuri sana mwanangu, nimefurah mmenikumbuka. mungu awabariki. muwe makin ukimwi unaua sanaa.

Kumbe na wewe ni M-Jf mwenzetu?
Angalau uwe unatupatia zile nasaha zako humu..
 
Back
Top Bottom