bategereza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 3,314
- 1,071
huyo mama huwa nampenda sana anajua kuchambua na kuelezea vitu kwa hisia.
Alishawahi kuolewa na kuishi kama mke na mume ndani ya nyumba moja ?
Alishawahi kuolewa na kuishi kama mke na mume ndani ya nyumba moja ?
mkuu...i guess you r hiting under the belt...too personal to be discussed on public
Ni mke wa mtu mpaka kesho,mumewe ni mcameroon kama sijakosea
TBC nayo ni TV ya kuangalia..? Labda vichaa
Kummshambulia mtu katika mambo binafsi hivi (kuhusu afya yake na ndoa yake) si uungwana. Fikiria wewe ukitendewa hivi!
Halafu kuna huyu Mama Terry sijui hanizimii..
Ye kila siku aniniponda kwenye magazeti na tivii..
TBC nayo ni TV ya kuangalia..? Labda vichaa
Ni mke wa mtu mpaka kesho,mumewe ni mcameroon kama sijakosea
TBC nayo ni TV ya kuangalia..? Labda vichaa
hellow, mic u people
TBC nayo ni TV ya kuangalia..? Labda vichaa
wapi alivowaambia watu wanywe mkojo wao?sina hamu naeMama Teri kitambo sana na fiksi zake.
nzuri sana mwanangu, nimefurah mmenikumbuka. mungu awabariki. muwe makin ukimwi unaua sanaa.Shikamoo mama,
Habari ya siku nyingi?
Tumekumiss sana, .
nzuri sana mwanangu, nimefurah mmenikumbuka. mungu awabariki. muwe makin ukimwi unaua sanaa.