Mama Terry yuko wapi?

Wana jf mnahuhakika gani kama huyo ndio mama terry mwenyewe, kama ni kweli mm naomba uni pm unipe contact zako... Na mimi nataka nifungue ofice!
 
mama terry yupo dar. Anakamilisha taratibu za mwisho za kuanzisha kipindi chake chini ya kampuni yake inayoitwa Brightlight Reality Show Company. Kipindi kitaitwa Ndoto yako reality show na kitaanza kurushwa kwenye television ya TBC1 hivi karibuni.

ni miaka 6 toka umeandika hii comment but hicho kipindi sijawahi kukiona
 
Nimemuona mara ya mwisho.kwenye tv.kwenye mkutano wa act.mbagara.akiwa na wagombea.
 
Yupo nimeonana nae mwezi wa sita kwenye Msiba pale makongo juu pia tukasalimiana ila sijamuuliza anachofanya yupo Dar kajaa tele....
 
Ya mama huyu yanastahili kukumbukwa wakati huu tunaposhuhudia aina ya wanasiasa huko Bungeni ni watu wa aina gani, tunapokuwa kwenye mambo muhimu ya kitaifa.
 
Dah huyu mama alikuwa anajulikana hadi mwanafa alikuimba kwenye wimbo wa alikufa kwa ngoma
 
Huyu mama tulikuwa tunakutana katika meditation group muda kidogo alikuwa anakuja na mabinti zake nafikiri ndo aliozaa na Mnigeria lakini toka niingie mitini sijajua yupo wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…