Najaribu kujua alikopotelea Mama Terri, yule wa ITV aliyejipambanua kutoa elimu ya lishe na ukimwi.
Yu wapi, mbona simsikii tena au alikuwa anatumia kipindi kujitangaza agombee udiwani kipindi kilee....(nakumbuka aliangukia pua)..
Au ndo kusema elimu yake haihitajiki tena?
Na kama anaendelea na hiyo huduma, ni vipi ametoswa ITV?