Mama terry

Mama terry

Nyumbu-

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
987
Reaction score
351
Najaribu kujua alikopotelea Mama Terri, yule wa ITV aliyejipambanua kutoa elimu ya lishe na ukimwi.
Yu wapi, mbona simsikii tena au alikuwa anatumia kipindi kujitangaza agombee udiwani kipindi kilee....(nakumbuka aliangukia pua)..
Au ndo kusema elimu yake haihitajiki tena?
Na kama anaendelea na hiyo huduma, ni vipi ametoswa ITV?
 
Mama huyu yuko na kipindi TBC1 kinacho husiana na wafanya biashara wadogowadogo wanacho kifanya wanakuongeza mtaji wa kiasi cha TZS 50,000 halafu wanakufatilia umezitumiaje umefaidkaje....mfano wa wafanya biashara hao ni wakaanga samaki, vitumbua,mafundi cherehani nk
 
Back
Top Bottom