Mama tulipe Madeni yetu tunayokudai Wakazi wa Kibamba

Mama tulipe Madeni yetu tunayokudai Wakazi wa Kibamba

Sappire

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
5,419
Reaction score
13,531
Wakazi wa wilaya ya Ubungo(Dar es salaam) hasa Jimbo la uchaguzi la kibamba mama tunakudai Tena madeni makubwa sana. Tunakudai maji, barabara, hospitali n.k. Miaka 64 ya uhuru hatuna maji ya dawasa, hivi hii ni haki kweli? Kila siku danadana tu tumechoka. Dawa ya deni ni kulipa
 
Maji ni ya kwenu au maji ya Mama, acheni hizo bhana.
Mnademka demka tu harafu mnakuja kusema mnamdai mama.
Mama Hana deni.
Mama hatukudai.
🤣🤣🤣🤣
 
Maji ni ya kwenu au maji ya Mama, acheni hizo bhana.
Mnademka demka tu harafu mnakuja kusema mnamdai mama.
Mama Hana deni.
Mama hatukudai.
🤣🤣🤣🤣
Wewe siyo mkazi wa KIBAMBA. Wakazi wa Kibamba tunateseka sana
 
Wakazi wa wilaya ya ubungo(Dar es salaam) hasa Jimbo la uchaguzi la Kibamba mama tunakudai Tena madeni makubwa sana. Tunakudai maji, barabara, hospitali n.k. Miaka 64 ya uhuru hatuna maji ya dawasa, hivi hii ni haki kweli? Kila siku danadana tu tumechoka. Dawa ya deni ni kulipa
Mtoto wa kiume una Lia Lia, unashindwa chimba kisima
 
Mtoto wa kiume una Lia Lia, unashindwa chimba kisima
Siyo kwamba nalia, hiyo ni haki yangu kuletewa maji maana wanatukata kodi. Hata ukichimba kisima maji Huwa ni ya chumvi sehemu kubwa Kwa Dar
 
Back
Top Bottom