Wewe siyo mkazi wa KIBAMBA. Wakazi wa Kibamba tunateseka sanaMaji ni ya kwenu au maji ya Mama, acheni hizo bhana.
Mnademka demka tu harafu mnakuja kusema mnamdai mama.
Mama Hana deni.
Mama hatukudai.
🤣🤣🤣🤣
Mtoto wa kiume una Lia Lia, unashindwa chimba kisimaWakazi wa wilaya ya ubungo(Dar es salaam) hasa Jimbo la uchaguzi la Kibamba mama tunakudai Tena madeni makubwa sana. Tunakudai maji, barabara, hospitali n.k. Miaka 64 ya uhuru hatuna maji ya dawasa, hivi hii ni haki kweli? Kila siku danadana tu tumechoka. Dawa ya deni ni kulipa
Siyo kwamba nalia, hiyo ni haki yangu kuletewa maji maana wanatukata kodi. Hata ukichimba kisima maji Huwa ni ya chumvi sehemu kubwa Kwa DarMtoto wa kiume una Lia Lia, unashindwa chimba kisima
Yote Kwa ujumla Mfano kata ya mbezi na kata zingine.Kibamba ipi hiyo unayoisema ww
Mashimo yake ni balaa, ukikaa kwenye gari unakuwa unarushwarushwa Hadi kichwa kinagonga juu ya gari.Balabala ya Mpiji - Magowe