Kwa niaba ya walalahoi wenzangu jumla ya kaya 600 tunaomba serikali kubadikisha msimamo na kutuachia ardhi. serikali kupiti kilimo uyole inataka kutunyang'anya kipande cha ardhi cha heka 67 kwa ajili shamba la kilimo uyole. Ni ardhi yetu ya asili, tuliiendeleza kwa miaka mingi na kwa maelekezo ya waziri Lukuvi alirejesha ardhi kwa wananchi. Bashe ametupiga biti ya kutosha kupora eneo hilo. Tumefungua ka kesi uchwara Mahakama Kuu Mbeya kujaribisha kama tutabakishwa pale. Lakini Ukweli ni huruma zako tu Raisi sisi kuachiwa eneo hilo. Tuonee huruma mama, TOA AMRI ARDHI HIYO TUACHIWE WANANCHI ILI OCTOBER TUNATIKI KWA RAHA ZETU! MUNGU MBARIKI SAMIA SULUHU HASSAN.