Mama ua nyani usiangalie usoni

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Asaalam Mama.

Mama kuna watu tulisema tangu mwanzo sio wakuwabeba lakini ume wabeba ukasema mkubwa hakosei.

Tena ukampa mkoba akushikie na akupangie matumizi, mtu carwad asiyeeleweka msimamo wake, Wala taaluma yake.

Mama Leo umeona alivyomtukana mtangulizi wako na kukukebehi hadharani kabisa, tena akiwa anatangaza ushubwada wake!!!

"Mama ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni" laa sivyo usubiri kuvuna bua... Huyu sio mtu wa kukusaidia huyo anaitwa kikulacho kingoni mwako..... Piga chi
 
Mama kwa heshima,
Tulitee waziri wa fedha ambae ni mbunge wakuteuliwa mchumi halali.
Hawa wanakupaka kwa kadi KIJANI NA NYEKUNDU wakati walikuwa kwenye mfumo wa awamo zote.

SISI WANANCHI TUNAJUA WEWE UNATEMBEA NA KADI "WHITE"
Sasa wanataka kukupaka kwa kadi zao.VINYONGA HAO.

KATI YA WABUNGE NINAWAKUBALI KUPITIA CCM NI BASHE TU

HUYU NAMUOMBEA AWE WAZIRI KAMILI TENA WIZARA YA UTALII
Hana majigambo,
Hana makundi,
Anajua kujibu hoja,
Ni msikivu,
Hana siasa zakikada.
Siasa zake nizakujenga nchi
Sio wa makamerakamera,
 
Huyu jamaa aondolewe kabisa hafai kuwa kwenye cabinet la Rais Samia Suluhu.
Ameongea upuuzi sana alipokuwa anawasilisha bajeti.
 
Sijui maza nae aliwaza nini kumuweka madelu hiyo nafasi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…