Baba jayaron
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 4,324
- 5,933
Asaalam Mama.
Mama kuna watu tulisema tangu mwanzo sio wakuwabeba lakini ume wabeba ukasema mkubwa hakosei.
Tena ukampa mkoba akushikie na akupangie matumizi, mtu carwad asiyeeleweka msimamo wake, Wala taaluma yake.
Mama Leo umeona alivyomtukana mtangulizi wako na kukukebehi hadharani kabisa, tena akiwa anatangaza ushubwada wake!!!
"Mama ukitaka kumuua nyani usimwangalie usoni" laa sivyo usubiri kuvuna bua... Huyu sio mtu wa kukusaidia huyo anaitwa kikulacho kingoni mwako..... Piga chi