Mama umesema tuanze upya na tusameheane lakini.......

Mama umesema tuanze upya na tusameheane lakini.......

Kuna mambo hayasameheki hata mkianza upya ni lazima tuambiwe alipo Ben Saanane mtu anapoteaje kirahisirahisi hivyo?
Ni kweli unachosema , mengine tunamwachia Mungu
 
Bora hata lisu aweza samehe waliompiga risasi maana mungu amemuokoa ila sio familia ya Ben Saanane na Azory Gwanda.
 
Mi nipo mwabilanda nyambiti ngudu huku wananiita jogoli (muhamiaj haram) eti kwa sbb natoka kaskazin sikumuunga mwendazake
 
Mama ameota mapembe Kauli aliyoitoa sijui kama alifikirisha sana bongo yake
 
Bora hata lisu aweza samehe waliompiga risasi maana mungu amemuokoa ila sio familia ya Ben Saanane na Azory Gwanda.
Na Kanguye wa Kigoma, aliyekuwa mwenyekiti wa Halmashauri, tena kupitia CCM. Kosa ni ile kutamka kuwa Serikali ilikuwa haitendi haki.
 
Nani waliompiga lisu risasi?
Azory Gwanda na Ben Saanane wako wapi? Walio haribu uchaguzi wa 2020 wanaachwa hvhv? Tuanzie hapa kwanza.
Kifupi kuanza upya haiwezekani! Roma mkatoriki kidole kdogo cha mkononi hakijkunji mpaka leo( ulemavu wa kudumu) mke na watoto wa Ben Saanane wataomba mabaki wakazike. Just to mention a few.
 
Back
Top Bottom