Mama Uwoya amkana Dogo Janja, asema haitambui ndoa yao na mwanae ni mjane

Ukibadili dini, ndoa uliyofunga kwa dini ingine inakufa palepale
 
Si kweli kuwa mzazi lazima ashirikishwe kwenye ndoa. Sheria haisemi hivyo, labda kwa mtoto. Kumshirikisha mzazi, mlezi, ndugu au jamaa kwenye ndoa ni utaratibu wa binafsi tu. Ndoa ni suala na mtu binafsi.
Rejea Sheria ya Ndoa ya mwaka 1984 imewaelezea ushiriki wa wazazi wa wanandoa kwa hiyo si kweli kwamba mzazi hapaswi kushirikishwa
 
Si kweli kuwa mzazi lazima ashirikishwe kwenye ndoa. Sheria haisemi hivyo, labda kwa mtoto. Kumshirikisha mzazi, mlezi, ndugu au jamaa kwenye ndoa ni utaratibu wa binafsi tu. Ndoa ni suala na mtu binafsi.
Usipotoshe watu.... Ndoa lazima iwe na shahidi na kuwe na mtu wa kutoa IDHINI,,, lazima mwanamke awepo BABA,, KAKA,,, MJOMBA, au mlezi wake,, akukabidhi mke.,, ndoa bila IDHINI kutoka kwa walezi wa mke sio ndoa,,, mama uwoya yupo sahihi
 
ila ki-ukweli hata mm ndo niwe kaka yake Irene afu dogo janja awe shemeji yangu!!dah!hii ni ngumu kumeza aiseeee!!yan kale kadogo ndo kawe kanakula tamu ya dada!
 
Achana na huyu bush lawyer hana lolote.
 
Usipotoshe watu.... Ndoa lazima iwe na shahidi na kuwe na mtu wa kutoa IDHINI,,, lazima mwanamke awepo BABA,, KAKA,,, MJOMBA, au mlezi wake,, akukabidhi mke.,, ndoa bila IDHINI kutoka kwa walezi wa mke sio ndoa,,, mama uwoya yupo sahihi
Huyo ndio mwanasheria wa Chadema aliyemsaidia Mwalimu kujaza fomu ya ubunge!
 
siyo lazima mzazi aridhie ndoa yangu.
 
Moreen, mkataba wa ndoa huisha mara tu baada ya kifo cha mmoja wa wanandoa.
Hakuna cha mkataba wa ndoa na Ndikumana hapo...iliisha siku amekufariki.
 
Well, hoja Ya kwanza ni kuhusu tamaduni zetu na sio sheria , Baraka za wazazi zinahitajika

Hoja Ya pili ni kisheria, unaweza kufunga ndoa nyingine huku ile ya kwanza haijavunjwa?
hiy ndoa ya kwanza haikufungwa tanzania kwa hiyo haikubaliki....ndoa ni maamuzi binafsi sio lazima kuwashirikisha wazazi
 
mwenye picha ya Ireen tafadhari aitume na wengine tumfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…