Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahhaa moreen uko vizuri mamaKwa hiyo ndoa Ya kiislam inafuta zingine zilizopo kisheria? Kwa hiyo unaweza kumzulumu muislam Mke na kwenda kufunga nae ndoa kwenye ukristo na muislam akafanya Hivyo kwa mkristo na isiwepo shida kisheria? Kwa ufahamu wangu mdogo kisheria ndoa yoyote iliyofungwa ktk dini yoyote ile inatambuliwa na sheria za nchi kama mkataba halali ,na ndio maana vyeti vyote vya ndoa vinatoka serikalini na kwenda misikitini na makanisani kwa ajili ya wanandoa kujaza, pale pana sehemu inayouliza ni ndoa ya wake wengi au mmoja unakata isiyohusika, ndoa iwe ya kiislam au kikristo lazima ivunjwe kwanza kupitia talaka ndipo ufunge nyingine , kwa wakristo kupitia mahakama maana madhehebu mengi hayavunji ndoa kiimani ila uwashauri waumini waende mahakamani usuluhishi ukishindikana kabisa
Ndikumana alikua na uwezo kabisa wa kwenda court ili ndoa ya uwoya na janja iwe declared null and void, nadhan Alisha give up hakutaka yote hayo
wakituma naomba unitagi mkuumwenye picha ya Ireen tafadhari aitume na wengine tumfahamu.
Hivi pale st. Joseph posta ya zamani Sio Tanzania ?hiy ndoa ya kwanza haikufungwa tanzania kwa hiyo haikubaliki....ndoa ni maamuzi binafsi sio lazima kuwashirikisha wazazi
Acha kujilopokesha wewe kilaza unamjua huyo mama vizuri kwanza kama hujui ni mtu wa din sana tulia weweHuyu mama anamuonea wivu mwanae.
Acha kujilopokesha wewe kilaza unamjua huyo mama vizuri kwanza kama hujui ni mtu wa din sana tulia wewe