Mama Uwoya amkana Dogo Janja, asema haitambui ndoa yao na mwanae ni mjane

Mama Uwoya amkana Dogo Janja, asema haitambui ndoa yao na mwanae ni mjane

Kwa hiyo ndoa Ya kiislam inafuta zingine zilizopo kisheria? Kwa hiyo unaweza kumzulumu muislam Mke na kwenda kufunga nae ndoa kwenye ukristo na muislam akafanya Hivyo kwa mkristo na isiwepo shida kisheria? Kwa ufahamu wangu mdogo kisheria ndoa yoyote iliyofungwa ktk dini yoyote ile inatambuliwa na sheria za nchi kama mkataba halali ,na ndio maana vyeti vyote vya ndoa vinatoka serikalini na kwenda misikitini na makanisani kwa ajili ya wanandoa kujaza, pale pana sehemu inayouliza ni ndoa ya wake wengi au mmoja unakata isiyohusika, ndoa iwe ya kiislam au kikristo lazima ivunjwe kwanza kupitia talaka ndipo ufunge nyingine , kwa wakristo kupitia mahakama maana madhehebu mengi hayavunji ndoa kiimani ila uwashauri waumini waende mahakamani usuluhishi ukishindikana kabisa

Ndikumana alikua na uwezo kabisa wa kwenda court ili ndoa ya uwoya na janja iwe declared null and void, nadhan Alisha give up hakutaka yote hayo
hahahahhaa moreen uko vizuri mama
 
  • Hii ni sawa na Laila Odinga kudai haitambui serikali wakati maisha yanaendelea kama kawa.
 
Back
Top Bottom