Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 817
- 2,180
Guys nilifanya hivi:
Nilituma 50,000 kwa mama. Then nikatuma 50,000 kwa Girlfriend.
Majibu yalikuwa hivi
MAMA: Asante sana baba ubarikiwe sana
GF: Hii hela hata haitoshi maana nina mambo mengi.
VIJANA KAMA SIO MKE WAKO ACHA KUJIFANYA UNAHUDUMIA, HAVINA SHUKRANI HIVI VIUMBE.
NB: Kwa GF nimetuma bila kuombwa, kwa mama aliomba vocha lakini kiuhalisia siwezi kumtumia vocha kweli.