Mama wa binti hanitaki kabisa. Wadau, nifanye nini katika hali hii?

Mama wa binti hanitaki kabisa. Wadau, nifanye nini katika hali hii?

Na wewe nishauri Mimi ni kijana wa miaka 28 na mpenzi wangu anamiaka 54 mapenzi yetu yalikua ya siri mume wake kafa mwezi uliopita nimeanza kwenda kulala nyumbani kwake lakini kijana wake mwenye miaka 32 hataki kuniheshimu mimi kama Baba yake wa kambo nifanye nini ili aniheshimu?
 
Na wewe nishauri Mimi ni kijana wa miaka 28 na mpenzi wangu anamiaka 54 mapenzi yetu yalikua ya siri mume wake kafa mwezi uliopita nimeanza kwenda kulala nyumbani kwake lakini kijana wake mwenye miaka 32 hataki kuniheshimu mimi kama Baba yake wa kambo nifanye nini ili anishemu?
Fala wew
 
Na wewe nishauri Mimi ni kijana wa miaka 28 na mpenzi wangu anamiaka 54 mapenzi yetu yalikua ya siri mume wake kafa mwezi uliopita nimeanza kwenda kulala nyumbani kwake lakini kijana wake mwenye miaka 32 hataki kuniheshimu mimi kama Baba yake wa kambo nifanye nini ili aniheshimu?

Fungua uzi wako wakushauri vizuriii
 
mvulana wa facebook huyu na vi chat vyake vya kitoto eti unajitumia sms kwa simu moja alafu unajijibu kwa simu ya pili.. hamna watoto wenzio humu
Screenshot_20250114_003840_WhatsAppBusiness.jpg
 
Mwanaume mzima unabeba simu ya laki unaipeleka kwa mamamkwe, halafu ndio unataka mtoto wake
lazima akuchukie..
Tafuta hela wewe, ulitakiwa ujiongeze upeleke Samsung au iphone
 
Back
Top Bottom