Mama wa binti hanitaki kabisa. Wadau, nifanye nini katika hali hii?

Na wewe nishauri Mimi ni kijana wa miaka 28 na mpenzi wangu anamiaka 54 mapenzi yetu yalikua ya siri mume wake kafa mwezi uliopita nimeanza kwenda kulala nyumbani kwake lakini kijana wake mwenye miaka 32 hataki kuniheshimu mimi kama Baba yake wa kambo nifanye nini ili aniheshimu?
 
Fala wew
 

Fungua uzi wako wakushauri vizuriii
 
mvulana wa facebook huyu na vi chat vyake vya kitoto eti unajitumia sms kwa simu moja alafu unajijibu kwa simu ya pili.. hamna watoto wenzio humu
Mmmmmh kaka si hata jina umeonaaa
 
Mwanaume mzima unabeba simu ya laki unaipeleka kwa mamamkwe, halafu ndio unataka mtoto wake
lazima akuchukie..
Tafuta hela wewe, ulitakiwa ujiongeze upeleke Samsung au iphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…