Mama Wa hiali na mtafuta

jisome

Senior Member
Joined
Sep 29, 2017
Posts
108
Reaction score
94
Mm ni Kijana Wa miaka 27 ninataman na ninapenda nipate mama Wa hiali angalau namie nijivunie kutamka neno mama ,kulingana na kutokua na mama Mzazi kiukweli Nina miss kutamka kinywani mwangu neno mama ,kiukweli natamani sana na huwa naingiwa huzuni pale napokua na wenzangu wao wakijivunia mama zao so napenda angalau nimpate mama Wa hiali ili niwe namtamkia hili neno mama ,mie ni nes mkunga jinsia ni wakiume mwenye umri Wa miaka 27 mwanzo niliona kawaida tu kutokua na mama ila kadili siku ziendavyo ninatamani kuwa na mama japo nikipata shida ya kimawazo awe ananishauri hongera zenu wote wenye mama muwaheshimu sana mama mama mama jina hili nalimis saana kinywani mwangu mama popote ulipo rest in peace naomba kupata mama Wa hiari plz
 
Part of growing up means embracing who you are and what you went through to be who you are today.

Stop whining no matter how life was bitter for you, growing up without your Mom. For a man, aspire to look for a good spouse who will be a great Mom to your kids. For a woman, aspire to be a great wife and mother to your kids. Thats how you will make up for not having a mom in your life.

Dunia ya sasa haina maana. Utamtafuta mama kwa nia njema, utakuja kuibuka na kubwa zaidi ya hilo.
 
Unakaa wapi .mie nipo radhi iwapo utaridhia.nipe no yako nitakupigia.
 
Sijui nikujibu nini
Bali nitalike tu ulichoniposti..

Labda mdau atuambie kama anataka mama wa hiali mwenye upendo kama mimi?

Ila kwa umri wake mie nitaweza kuishia kujiona kibibi kizee wakati bado nadai haswa haswa.. hakuna kuzeeka shaaa eeeeh
Ha ha ha haaaaaaaa. .. Mbona huyu hajapishana sana na firstborn wako, yule si anatimiza 26 mwakani February?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…