jisome
Senior Member
- Sep 29, 2017
- 108
- 94
Mm ni Kijana Wa miaka 27 ninataman na ninapenda nipate mama Wa hiali angalau namie nijivunie kutamka neno mama ,kulingana na kutokua na mama Mzazi kiukweli Nina miss kutamka kinywani mwangu neno mama ,kiukweli natamani sana na huwa naingiwa huzuni pale napokua na wenzangu wao wakijivunia mama zao so napenda angalau nimpate mama Wa hiali ili niwe namtamkia hili neno mama ,mie ni nes mkunga jinsia ni wakiume mwenye umri Wa miaka 27 mwanzo niliona kawaida tu kutokua na mama ila kadili siku ziendavyo ninatamani kuwa na mama japo nikipata shida ya kimawazo awe ananishauri hongera zenu wote wenye mama muwaheshimu sana mama mama mama jina hili nalimis saana kinywani mwangu mama popote ulipo rest in peace naomba kupata mama Wa hiari plz