kazuramimba
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 126
- 57
Mama wa kambo si mama, ni mama tu kwa jina kwa sababu ana uke - basi. Hivyo hivyo na baba wa kambo ndo hivyo si baba.
Pole sana.....kweli kabisa sio kila mama wa kambo hafai, wengine tumelelewa na mama wa kambo bila matatizo yoyote!yaani umenitukana vibaya sana sana....mbona mnachuulia mambo kihivyo jamani, sio wote tupo hivyo, wengine tunawalea hao watoto kama wa kuwazaa vile, inategeemana na ubinadamu wa mtu jamani.
yaani umenitukana vibaya sana sana....mbona mnachuulia mambo kihivyo jamani, sio wote tupo hivyo, wengine tunawalea hao watoto kama wa kuwazaa vile, inategeemana na ubinadamu wa mtu jamani.
Mama wa kambo si mama, ni mama tu kwa jina kwa sababu ana uke - basi. Hivyo hivyo na baba wa kambo ndo hivyo si baba.
Inasikitisha hata kusimulia coz imezoeleka wanaume ndio wamekuwa wakiwafanyia watoto wakike vibaya sasa huyu mama amebainika alikua akimlazimisha mtoto wa miaka 9 amnyonye sehemu za siri au kama ilivyo zoeleka amshukie chumvini 'uvinza'' kwa takribani miez 5.hali hii iligundulika baada ya kasichana hako kukutwa na mwalimu wake kana michubuko na vipele mdomoni na kwenye ulimi pia kalikuwa hakana raha kabisa shuleni! Lol! Kweli mama wa kambo ni mama lakiniiiii!! ! ! Source TGNP.
Mama wa kambo si mama, ni mama tu kwa jina kwa sababu ana uke - basi. Hivyo hivyo na baba wa kambo ndo hivyo si baba.
Hii kweli inasikitisha kwa kweli sijui watu wengine wanakuwa na roho gani!Kuna watu wengineUtadhani walitapikwa na si kuzaliwa..Hata wanyama pori wana akili kuliko wao.Itakiwa vema kama akipelekwa kizimbani..
Pole Nyamayao, si kila mama wa kambo ni mbaya. nina rafiki ana kasichana kake nimekuja kujua baada ya miaka2 ya urafiki wetu kuwa yule ni binti wa mumewe aliletewa akiwa na 6months. lakini ndio hivyo wanawake wengine wana roho ya shetani alaaniwe huyo mwanamke!
Nisamehe bure mama yangu (japo si mama yangu wa kamboo), Hivi asubuhi ya leo imekaaje, NISAMEHE MY ......?????yaani umenitukana vibaya sana sana....mbona mnachuulia mambo kihivyo jamani, sio wote tupo hivyo, wengine tunawalea hao watoto kama wa kuwazaa vile, inategeemana na ubinadamu wa mtu jamani.
Sema lolote mama.....Mungu wangu! Nini naweza sema hapa?????