mama wa kambo ni mama lakini!?!!!!

mama wa kambo ni mama lakini!?!!!!

kazuramimba

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
126
Reaction score
57
Inasikitisha hata kusimulia coz imezoeleka wanaume ndio wamekuwa wakiwafanyia watoto wakike vibaya sasa huyu mama amebainika alikua akimlazimisha mtoto wa miaka 9 amnyonye sehemu za siri au kama ilivyo zoeleka amshukie chumvini 'uvinza'' kwa takribani miez 5.hali hii iligundulika baada ya kasichana hako kukutwa na mwalimu wake kana michubuko na vipele mdomoni na kwenye ulimi pia kalikuwa hakana raha kabisa shuleni! Lol! Kweli mama wa kambo ni mama lakiniiiii!! ! ! Source TGNP.
 
Cha msingi mwanamke ukimzaa mtoto wako jitahidi kwa nguvu zako umlee mwenyewe kama uko hai. Usipate uchungu wewe ukampelekea mtu mwingine mwanao. Dah Mungu walinde watoto wanaoteswa kwa sababu mama zao hawapo! Hilo jimama hebu likamatwe likapigwe hata mawe likufie mbali.
 
LD hutaweza kumlea wakati asubuhi unaenda kazini na kumuacha na hg,wanaofanyiwa vitendo hivyo na ma hg niwengi sana yupo mmoja aliambukizwa maradhi na hg,WANAWAKE MPO??Woman right!!!
 
Mama wa kambo si mama, ni mama tu kwa jina kwa sababu ana uke - basi. Hivyo hivyo na baba wa kambo ndo hivyo si baba.
 
Huyo Mama amekosa Mwanaume mwambie aje kwangu nimtie adabu hilo pepo la ngono litamtoka
 
Mama wa kambo si mama, ni mama tu kwa jina kwa sababu ana uke - basi. Hivyo hivyo na baba wa kambo ndo hivyo si baba.

yaani umenitukana vibaya sana sana....mbona mnachuulia mambo kihivyo jamani, sio wote tupo hivyo, wengine tunawalea hao watoto kama wa kuwazaa vile, inategeemana na ubinadamu wa mtu jamani.
 
Haya mambo yanasikitisha sana! Watoto sijui walelewe vipi na nani aaminiwe katika malezi ya mtoto.
 
yaani umenitukana vibaya sana sana....mbona mnachuulia mambo kihivyo jamani, sio wote tupo hivyo, wengine tunawalea hao watoto kama wa kuwazaa vile, inategeemana na ubinadamu wa mtu jamani.
Pole sana.....kweli kabisa sio kila mama wa kambo hafai, wengine tumelelewa na mama wa kambo bila matatizo yoyote!
 
Kuna watu wengine
Utadhani walitapikwa na si kuzaliwa..
Hata wanyama pori wana akili kuliko wao.
Itakiwa vema kama akipelekwa kizimbani..
 
yaani umenitukana vibaya sana sana....mbona mnachuulia mambo kihivyo jamani, sio wote tupo hivyo, wengine tunawalea hao watoto kama wa kuwazaa vile, inategeemana na ubinadamu wa mtu jamani.

Pole Nyamayao, si kila mama wa kambo ni mbaya. nina rafiki ana kasichana kake nimekuja kujua baada ya miaka2 ya urafiki wetu kuwa yule ni binti wa mumewe aliletewa akiwa na 6months. lakini ndio hivyo wanawake wengine wana roho ya shetani alaaniwe huyo mwanamke!
 
Mama wa kambo si mama, ni mama tu kwa jina kwa sababu ana uke - basi. Hivyo hivyo na baba wa kambo ndo hivyo si baba.

This is wrong!!!! It is very misleading. There are so many people who were raised by their step parents and thsy have made it. If you ask their opinion, they will not agree with you.

yes there are exception cases, where the step mother could be so cruel. This is welll known, but this does not the fact that step mothers/fathers are guardians to thousands of children.

Please do not poison the goodwill of the people!!

Well done and keep it up, step fathers/mothers!
 
Inasikitisha hata kusimulia coz imezoeleka wanaume ndio wamekuwa wakiwafanyia watoto wakike vibaya sasa huyu mama amebainika alikua akimlazimisha mtoto wa miaka 9 amnyonye sehemu za siri au kama ilivyo zoeleka amshukie chumvini 'uvinza'' kwa takribani miez 5.hali hii iligundulika baada ya kasichana hako kukutwa na mwalimu wake kana michubuko na vipele mdomoni na kwenye ulimi pia kalikuwa hakana raha kabisa shuleni! Lol! Kweli mama wa kambo ni mama lakiniiiii!! ! ! Source TGNP.

Ndugu zangu tusiwe wanafiki kujidai kushangaa kuhusu haya mambo. Mambo ambayo hayaripotiwi ni mengi na ambayo hayaja wekwa hadharani pia ni mengi mno huku mitaani, kwa majirani, kwa ndugu zetu n.k.

Shetani ameingia kwenye eneo la divine sex na kuleta ubunifu wa kishetani ambao lengo lake ni kutimiza tamaa za kimwili kwa staili ambayo mtu anataka. We are living in the era where eros has significantly been defiled. Magazeti, Mikanda na ngono, Tv n.k vime shift kwa kiasi kikubwa maana halali ya kufanya sex na kwenda ktk extreme tunazoziona sasa. Ndugu zanguni ili kubadili hali hii inahitaji tu divine intervention ili morality ktk jamii tunamwoishi irudi katika hali yake.
 
Mama wa kambo si mama, ni mama tu kwa jina kwa sababu ana uke - basi. Hivyo hivyo na baba wa kambo ndo hivyo si baba.

Aisee waombe radhi akina mama, hili ni tusi kwani kilichomdhalilisha huyu mto siyo tu kuwa mama wa kambo bali individual behaviour ya huyo mwanamke ambaye hana adabu. Kuna watoto wengi wanalelewa na mama wa kambo na wamefika university na sometime mama wa kambo amekuwa msaada kuliko hata mama mzazi.
 
Kuna watu wengineUtadhani walitapikwa na si kuzaliwa..Hata wanyama pori wana akili kuliko wao.Itakiwa vema kama akipelekwa kizimbani..
Hii kweli inasikitisha kwa kweli sijui watu wengine wanakuwa na roho gani!
 
Huyo mama anyongwe tu haki. that is very trumatizing kwa mtoto, baadae unakuta anashindwa kabisa kua na sexual life.
 
Pole Nyamayao, si kila mama wa kambo ni mbaya. nina rafiki ana kasichana kake nimekuja kujua baada ya miaka2 ya urafiki wetu kuwa yule ni binti wa mumewe aliletewa akiwa na 6months. lakini ndio hivyo wanawake wengine wana roho ya shetani alaaniwe huyo mwanamke!

asante sana Mom, nimekumic mbaya kabisa, mzima wewe?......ni kweli kuna wamama wakatili lakini ki ukweli sio wote tupo hivyo, mie wangu nampenda sana sana kwanza najivuniaga sana na wengi wanajuaga ni binti yangu wa kwanza...
 
yaani umenitukana vibaya sana sana....mbona mnachuulia mambo kihivyo jamani, sio wote tupo hivyo, wengine tunawalea hao watoto kama wa kuwazaa vile, inategeemana na ubinadamu wa mtu jamani.
Nisamehe bure mama yangu (japo si mama yangu wa kamboo), Hivi asubuhi ya leo imekaaje, NISAMEHE MY ......?????
 
Back
Top Bottom