Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,273
Mama wa kambo si mama,hakuna la kubisha hapo:spider:
Shosti hapa umenitukana live kwa hiyo mimi si mama???
Nalea watoto wawili sio wangu lakini ukija kwangu hutatoka na swali kuwa hawa si watoto wangu. Nawapenda na wakwangu wanapendana na wenzao tena kupita maelezo na hakuna ubaguzi wote mimi ni mama yao.
Hiyo dhana yako ondoa kabisa kichwani mwako mimi ni mama na nitaendelea kuwa mama kwisha. Msichukulie wamama wawili watatu waliokosea mkachanganya na wengine huko hukooooo muishie