Mama wa kambo si mama,hakuna la kubisha hapo:spider:
Mama wa kambo ni mama nae ila watu washajenga mtazamo hasi. Inapotokea anamwadhibu mtoto ataonekana anamnyanyasa. Yaani sijui wafanye lipi jamii iwaelewe ingawa wapo wengine nao watata sana.
Binafc nimelelewa na mama wa kambo(MAMA)tangu mwaka 1993 mpaka 1998.ckuuona ubaya wake japo maelekezo yake mazuri kwangu ckuyapenda coz ya utoto na unajua utoto michezo mingi hvyo kuhc kama naonewa mpaka leo niko nae na 2naishi vizur na kushirikiana mambo mengi.
Nasema hv MAMA NI MAMA HATA KAMA UNAMZIDI UMRI,UMBO NA KIPATO UNAPASWA KUMPA HESHIMA YAKE.
Ni msemo wa kwanza kati ya miwili nisiyoipenda. Mama wa kambo kama mama (na mlezi) anapaswa kupewa umuhimu wake kutokana na kazi anayoifanya na siyo kumjengea taswira ya ubaya ktk jamii. Mi naona ubaya wa mama wa kambo unaanzia ktk consept zetu mbaya juu yake hivyo kuyapindisha hata yale anayoyafanya kwa nia njema akiwa kama mlezi husika kwa wakati huo, mfano kumrudi mtoto kwa kosa alilofanya.
Msemo wa pili nisiyoupenda ni huu unaosema 'mtoto usiyemzaa ni mkubwa mwenzako'. Baada ya msemo ambao umekuja kumtia ila mama wa kambo, umekuja na huu unaomfanya asiupe umuhimu wajibu wake na pindipo akisibiwa na msemo huu, ndiyo ubaya wa mama wa kambo unapojitokeza. Mfano mtoto anapokosea, atampa adabu isiyoendana na uzito wa kosa na hata isiyo sawa na yule anayepewa.
Kwa maelezo hayo, hebu tuangalie ubaya wa mama wa kambo ulipo na ni sababu zipi zinazompelekea awe hivyo.
Shosti hapa umenitukana live kwa hiyo mimi si mama???
Nalea watoto wawili sio wangu lakini ukija kwangu hutatoka na swali kuwa hawa si watoto wangu. Nawapenda na wakwangu wanapendana na wenzao tena kupita maelezo na hakuna ubaguzi wote mimi ni mama yao.
Hiyo dhana yako ondoa kabisa kichwani mwako mimi ni mama na nitaendelea kuwa mama kwisha. Msichukulie wamama wawili watatu waliokosea mkachanganya na wengine huko hukooooo muishie
Desidii, mkataba wetu tuliuvunja lini?
Babu is furious!:wink2::wink2:
Babu hii ilinigusa sana si unajua mie mama wa kambo.
Hapo ndo imefika mwisho
Ngoja nifanye hivi basi sawa
The Following User Says Thank You to Asprin For This Useful Post:
Desidii (Today)
Aisee...hata Bibi yenu ananilelea binti wa mazoezi....Majirani wote wanajua ni binti yake!
Mwanamke anayesema mama wa kambo si mama, Yeye ndio SI MAMA!
Kwa hii point uvumilivu umenishinda kamata hii hapa
The Following 2 Users Say Thank You to Asprin For This Useful Post:
Desidii (Today), Keren_Happuch (Today)
Mama wa kambo si mama,hakuna la kubisha hapo:spider:
Mm naendelea kusema ni chini ya uangalizi wa shangazi yangu hadi sasa. Japokuwa natokea kuwa mbali nae kwa muda mrefu ndani ya mwaka, ila naendelea kuenjoy life kupitia yeye. Lkn angalia ktk kipindi cha nyuma, wakati nikiwa darasa la saba alitaka kunifukuza ila reslt ndiyo zilinibakisha kwake baada ya kupewa ushauri. Na kutokana na matokeo kuwa mazuri, niliendelea kuwa pa1 nae hadi kufikia leo hii ambapo watu wengine wanamuona kama ananidekeza. Kiupande wangu nabakia kujisemea "hata kosa lile lilinipigisha?" Mungu ampe maisha mazuri zaidi mama angu mlezi na wengine waliobaki mkiwemo nyinyi wana jf
Shosti hapa umenitukana live kwa hiyo mimi si mama???
Nalea watoto wawili sio wangu lakini ukija kwangu hutatoka na swali kuwa hawa si watoto wangu. Nawapenda na wakwangu wanapendana na wenzao tena kupita maelezo na hakuna ubaguzi wote mimi ni mama yao.
Hiyo dhana yako ondoa kabisa kichwani mwako mimi ni mama na nitaendelea kuwa mama kwisha. Msichukulie wamama wawili watatu waliokosea mkachanganya na wengine huko hukooooo muishie
umenikunama dearest...haaa mie wangu namfurahia sana kwanza kananipenda/nakapenda hutajua kama sio wangu wa kumzaa....watatuwekea lebo mbaya sana jamani, ni ukweli kuna wabaya na kuna wengine wazuri tu tena sana.
Halafu jana nimekufikiria kweli nikasema umepotelea wapi tena dearest mi miss you very much bana
The Following User Says Thank You to Nyamayao For This Useful Post:
Dena Amsi (Today)
miso u 2 swir.......mambo yalikuwa mengi mengi mno, yanaingiliana kila kona but soon nitakuwa free....sasa dearest mwenzako mie nampenda mwanangu huyo kupita maelezo, yaani huwa nasema ndio kabinti kangu ka kwanza....hahaha waache kabisa kuna watu tuna roho zetu za imani toka tumboni mwa mama.