Mama wa kizungu amenitafuta tena na leo anataka kampani yangu

Hamjifunzi tu kuna yule wa italy hadi aliwaita police wamuokoe akatoka uchi wa mnyama.
 
Hamjifunzi tu kuna yule wa italy hadi aliwaita police wamuokoe akatoka uchi wa mnyama.
Juzi nilitoka na Dora 50 ngoja nione leo itakuaje
Ila akinigusia kwenda ulaya siachii
Ntapospond masomo
 
Yani wewe huhitaji hata kampeni kupigiwa kura kama rais wa wajinga duniani
 
ulisema anaemdogo ake fanya mchakato umpate na huyu...
 
Mkuu usisahau kuvaa boksa ya bendera ya taifa letu, utuwakilishe vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…