Mama wa kizungu amenitafuta tena na leo anataka kampani yangu

Mama wa kizungu amenitafuta tena na leo anataka kampani yangu

Habari wanajamvi,

Ule mkeka niliokua nausuka wa kumpa kampani Mama Mzungu naona umetiki make amekolea mpaka anasema hawezi kurudi Bulgaria bila mimi.

Nipo njia panda kati ya Bulgaria na chuo kipi niache kwanza.

Juzi kaniita kumpa kampani for the second time but amejaa mazima.
Chonde chonde usiende kuwa George Floydized
 
Angalia huyo mzungu asije akakupotezea muda; kuna mzee mmoja alienda kusoma ng'ambo mambo ya mitambo....yeye alikuwa mtu wa bata tu, akazaa na mjerumani alipokuwa huko ujerumani, akaenda tena masomoni marekani,na huko akazaa na mmarekani ...akapata kazi huko, akafanya. Kutokana na kuwa na umri mkubwa,kukawa na migogoro na hao aliozaa nao,baada ya muda kazi hana...ikabidi arudi nyumbani;mbaya zaidi amerudi akiwa mzee hana ramani,amekuwa mtu wa kulelewa tu.
 
Habari wanajamvi,

Ule mkeka niliokua nausuka wa kumpa kampani Mama Mzungu naona umetiki make amekolea mpaka anasema hawezi kurudi Bulgaria bila mimi.

Nipo njia panda kati ya Bulgaria na chuo kipi niache kwanza.

Juzi kaniita kumpa kampani for the second time but amejaa mazima.
Nenda tu
 
Chonde chonde usiende kuwa George Floydized
1590872578495.png
 
Habari wanajamvi,

Ule mkeka niliokua nausuka wa kumpa kampani Mama Mzungu naona umetiki make amekolea mpaka anasema hawezi kurudi Bulgaria bila mimi.

Nipo njia panda kati ya Bulgaria na chuo kipi niache kwanza.

Juzi kaniita kumpa kampani for the second time but amejaa mazima.
1590872670806.png

WANAUUZA HAO
 
USIPORUDI NA FIGO MOJA NIDAI 200M BULGARIA?

HEHEHE NEVER FORGET
Dunia ya leo imebadilika sana na watu wanachukuliwa kufanya mambo mengi sana ambayo mengine utajuta kwanini uliamua maamuzi hayo ya kwenda huko

Wengine wamefanywa shemale nakuonya tu
Fanyia maamuzi sahihi kwenye comments hizi kama upo tayari kwa lolote. ila kumbuka huu ndio ushauri utaukumbuka siku za baadae.
 
Mpaka unyofolewe unakua wapi
Wakiamua kua mafia na wewe unaenda nao sambamba
Mzee zali hilo nenda kale lyf achana na hawa walioridhika na ugali
 
Toa ramani mkuu wajuba wakapambanie machaka hayo, Uyo bibi ume mnasia Wapi location au platform
 
Back
Top Bottom