Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Kwanini mkuuUSIPORUDI NA FIGO MOJA NIDAI 200M BULGARIA?????????????????????????????HEHEHE NEVER FORGET
DuhDunia ya leo imebadilika sana na watu wanachukuliwa kufanya mambo mengi sana ambayo mengine utajuta kwanini uliamua maamuzi hayo ya kwenda huko
Wengine wamefanywa shemale nakuonya tu
UMEELEWA BYEKwanini mkuu
Chonde chonde usiende kuwa George FloydizedHabari wanajamvi,
Ule mkeka niliokua nausuka wa kumpa kampani Mama Mzungu naona umetiki make amekolea mpaka anasema hawezi kurudi Bulgaria bila mimi.
Nipo njia panda kati ya Bulgaria na chuo kipi niache kwanza.
Juzi kaniita kumpa kampani for the second time but amejaa mazima.
Comment za wadau zinaniogopesha mkuuEliminate ipo tu Mkuu, But Bahati haijirudii
Akili kumkichwa
AENDE BALOZI AU ATAFUTE WAKILI AMUELEZEE MAMBO NA TARATIBU
Nenda tuHabari wanajamvi,
Ule mkeka niliokua nausuka wa kumpa kampani Mama Mzungu naona umetiki make amekolea mpaka anasema hawezi kurudi Bulgaria bila mimi.
Nipo njia panda kati ya Bulgaria na chuo kipi niache kwanza.
Juzi kaniita kumpa kampani for the second time but amejaa mazima.
Chonde chonde usiende kuwa George Floydized
Habari wanajamvi,
Ule mkeka niliokua nausuka wa kumpa kampani Mama Mzungu naona umetiki make amekolea mpaka anasema hawezi kurudi Bulgaria bila mimi.
Nipo njia panda kati ya Bulgaria na chuo kipi niache kwanza.
Juzi kaniita kumpa kampani for the second time but amejaa mazima.
USIPORUDI NA FIGO MOJA NIDAI 200M BULGARIA?
HEHEHE NEVER FORGET
Fanyia maamuzi sahihi kwenye comments hizi kama upo tayari kwa lolote. ila kumbuka huu ndio ushauri utaukumbuka siku za baadae.Dunia ya leo imebadilika sana na watu wanachukuliwa kufanya mambo mengi sana ambayo mengine utajuta kwanini uliamua maamuzi hayo ya kwenda huko
Wengine wamefanywa shemale nakuonya tu
Mpaka unyofolewe unakua wapi
Wakiamua kua mafia na wewe unaenda nao sambamba
Mzee zali hilo nenda kale lyf achana na hawa walioridhika na ugali
Toa ramani mkuu wajuba wakapambanie machaka hayo, Uyo bibi ume mnasia Wapi location au platform