Hapa napo kweli itakuwa mama kashindwa kumkataa jamaa live kaona atumie gia nyingine...!! Pesa hizi daah...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mama kaona huna pesa bora akutoe relini amtaftie mwanae buzi lenye pesa. Ma single mama wako kimaslah zaidi.
Halafu exxperience yangu watoto wa kike wanaolelewa na ma single mamaz mara nyingi wanakuja kua wasumbufu sana kwenye ndoa.
Mungu aliniepushia hicho kikombe nashkuru.
ntaanzisha kampeni juu hili kunyanyapaliwa kwa mabinti walilolelewa na mzazi mmoja wakike.hii imekuwa ni matesa ya akili kwao wanajiona hawana thamani ya kupata wanaume wa kuwaona wakati wao pia ni mabinti tena wanaweza kuwa bora kuliko hta hao waliolelewa na wazazi wote wawiliMama kaona huna pesa bora akutoe relini amtaftie mwanae buzi lenye pesa. Ma single mama wako kimaslah zaidi.
Halafu exxperience yangu watoto wa kike wanaolelewa na ma single mamaz mara nyingi wanakuja kua wasumbufu sana kwenye ndoa.
Mungu aliniepushia hicho kikombe nashkuru.
hapo sasa mkuu nikasema huyu mama hajielew kabisa yanKwa hiyo wewe ndio akupe used
Khaaa maajabura[emoji1]Habari, nina stori moja leo ambayo inaniumiza kichwa kabisa kuhusu mama wa mchumba wangu simuelewi hata kidgo ana nia gani na mimi.Juzi flani hivi nilikwenda kumsalimia alikuwa anaumwa nikafika kwake kwenda kumjulia hali ila kwa mda huo nilioenda mpenz wangu hakuwepo ambae ni binti yake alikuwa bado hajarud kutoka kazin.Nilivofika nikamkuta mdogo wake na mama mkwe wangu mtarajiwa pamoja na mama mkwe wangu mwenyewe wakiwa wameketi njee ya nyumba.
Nikawasilimia vzr kabisa nikatoa vimzigo nilivo nunua nikawapa pale kama pole tukawa tunapiga stor zingine tu za kawaida mda kidg mdog wake akanyanyuka akaingia ndani tukawa wawili tu nje.akaniambia mwenzako bado hajarud kutoka kazini nikamwambia hta hivo nimewasiliana nae kaniambia yupo njiana anarudi nyumbani,akaniuliza hiv umempendea nini mwanangu kwanza hilo swali alivoniuliza moyo ulistuka paa nikasema kuna nn tena nikatizama chini nikamjibu mama unajua mapenzi huwa ni hayaelezeki na mimi sijui hta nilichompendea nimekjikuta nina amani moyoni mwangu kabisa kuhusu mwanao hivo yan.akaniambia hiv hujamwaona flani ambae sasa ni mdogo wake nikamwambia nimemuona mbona ni mzuri sana kuliko mchumba wako mmmh nikaguna nikasema ndio mzuri kwan hajaolewa nikamuuliza? akaniambia bado hajaolewa tena huyu ndo anakufaa zaid kuliko hta huyo unae mng'ang'ania ..
sasa baadae nilivota pale kwa yale mazungumzo yalinichanganya kdg..ila sasa mdogo wake anamiaka 31 mwanae anamiaka 24 mdogo wake kutokana na stori anazonipa demu wangu ananiambia huwa analalamika sana haolewi hana bahati alafu kazalishwa mtt mmoja na jamaa flani alafu pia sasa mbali na hapo kapangiwa nuyumba na mume wa mtu ila bado anataka kuolewa anasema yeye kachoka kuwa hawara umri umeenda sana.
sasa ulewa wangu ni kwamba huyu mama anataka kumpa neema mdogo wake kwakuwa mwanae bado binti hajazaa anaweza pata tu mwingine ila mimi ndo nijikanyage nikaopoe huo mzigo ambao tyar ushasoma kilometa za kutosha .
si thubutu kumwambia kabisa yan mwanaeKhaaa maajabura[emoji1]
Mimi nadhani mdogo mtu anapendwa sana na mama kuliko dada mtu, Hayo mambo hutokea yan mama anakua na upendeleo na mtoto fulani kiasi kwamba mtoto mwingine akipata mafanikio fulani anatamani hata ayahamishie kwa mtoto wake mpendwa.
Sidhan km sababu ya huo umri na kuzalishwa nyumbani ndiyo iwe sababu ya kuongea hayo maneno kwako.. bora hata angeongea kwa mwanaume baki tu yaan mkwe wake mtarajiwa kwa mwanao unaanza kusema upuuzi huo.
Na je hajafikiria kuwa ukimwambia mwanae kuhusu hayo aliyokwambia atajisikiaje au atalichukuliaje hili..
Mkuu naona kwa dhati walitaka shali kamili.n
ntaanzisha kampeni juu hili kunyanyapaliwa kwa mabinti walilolelewa na mzazi mmoja wakike.hii imekuwa ni matesa ya akili kwao wanajiona hawana thamani ya kupata wanaume wa kuwaona wakati wao pia ni mabinti tena wanaweza kuwa bora kuliko hta hao waliolelewa na wazazi wote wawili
Na usijaribu maana italeta chuki baina yao..si thubutu kumwambia kabisa yan mwanae
Mama zao ndio wanawajaza upupu. Hiyo kampeni yako iwahusu mama zao sio hao mabinti zao.n
ntaanzisha kampeni juu hili kunyanyapaliwa kwa mabinti walilolelewa na mzazi mmoja wakike.hii imekuwa ni matesa ya akili kwao wanajiona hawana thamani ya kupata wanaume wa kuwaona wakati wao pia ni mabinti tena wanaweza kuwa bora kuliko hta hao waliolelewa na wazazi wote wawili
mimi hta namba yake ya simu sinaNa usijaribu maana italeta chuki baina yao..
Inaonekana bi mkubwa hafurahii anavyokuona na mwanae, Yaan usije ukawa na mazoea na huyo mama asije kujaza maneno ya uongo kuhusu binti yake ili mgombane..
Ubavyotetea natamani ningekuwa karibu yako, nikutazame kwa huruma japo hata sekunde tano, nikushike bega kwa upole mbele yako, halafu ghafla nikulambe kofi moja aina ya "pumbavu wewe" hadi akili ikukae sawa.n
ntaanzisha kampeni juu hili kunyanyapaliwa kwa mabinti walilolelewa na mzazi mmoja wakike.hii imekuwa ni matesa ya akili kwao wanajiona hawana thamani ya kupata wanaume wa kuwaona wakati wao pia ni mabinti tena wanaweza kuwa bora kuliko hta hao waliolelewa na wazazi wote wawili
hilo nimeliona tena mtego huo hanipat hta kidgHapo unategwa