Mama wa miaka 58, adaiwa kubakwa na vijana wawili

Watu wa mara kama huyu hapa
 

Attachments

  • IMG_20191102_221345.jpg
    10 KB · Views: 17
Sasa si bora tu mtu atoe ushirikiano ili aenjoy kuliko kugoma halafu ugulie maumivu baadae.!


Ni mwanaume tu ndo anayeweza kukutune utamani..km we huwez mtune mkeo basi tena tutaugulia maumivu hadi tunakutana na Malaika mtoa roho!then hukumu juu yenu😓😓😓
 
Nyendo,
Watu wa kanda ya ziwa wana matukio ya ajabu ajabu sana.
Mauaji ya albino wao
Ushirikina wao
Ukatili wao
Ushamba wao
Kila kitu cha kipuuzi wamo
Waoga sana Hivi umeshawahi sikia wanakatana Mapanga wanaume why ni Wanamake tuuu tena kwa makosa madogo kama kuchelewa kupika kuhisiwa amechepuka
 
Sasa si bora tu mtu atoe ushirikiano ili aenjoy kuliko kugoma halafu ugulie maumivu baadae.!
Mtu kakumata..kakukaba Tena wapo wawili...Mwingine kakukaba Kifuani, mwingine anakubaka..hapo unatoa USHIRIKIANO gani...WEWE UTAKUA NDO HUYU MBAKAJI MMOJA ALIEKIMBIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…