ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
- Thread starter
-
- #21
Hahaha okei am not stupid by the wayMwanaume anayepiga mwanamke hafai kwenye jamii ya wastaarabu wa karne ya 21. You are very, very stupid...
Hahaha KaribuAsante mkuu kwa kuanza kutudanganya leo
Utambulisho wa mwanaumeUnatakiwa ushtakiwe kwanza kwa assault AFu kwa nn unampiga mwanamke,..!?au ndo saizi yako?
Utambulisho wa mwanaume
Marinda mkuukitu gani tena? (Roma Mkatotoliki)
nitasundaHaya ukidanganya tena nitakuchapa
Yamekaza vizur hata nikijamba ushuzi unapita kwenye njia sahihi sio fyuuuuu ni priiiiiiiMarinda mkuu
eeeeh ila ngumi tuUlibananishwa eenh?
muachie ngosweYa ngoswe......
haya njoo pm nikupe nambaMama yake na huyo binti alikua anajaribu kukupima kama una ubavu wa kupambana na wanaume wenzako, ndiyo maana akawatuma hao vijana wakupige. Kwa kuwa umeshindwa kupambana na hao waliokupiga amegundua kuwa huna uwezo wa kumlinda binti yake. Kwa hiyo kaa kando utuachie sisi wababe wenye nguvu tumchukue...😎
duuuh haya mkuu nasubirYaan kwa kifupi bado watoto kama mwenzio alienda kusema kwao na mama wa mwenzio akaenda kukusemelea kwa wazaz wako basi hitimisho subirni Mkue.
nimepewa kadi nyekunduShule zimefungwa nini
hahaha njoo pm nikupe namba ya demu anabigana boxerUkome kupiga mtoto wa kike,dume zima na miguvu yako ya kusukuma caterpillars kwa mkono mmoja unampiga mtoto wa kike kuvunja biscuit kwake tatizo,miguvu hailingani.
Wewe wa wapi???
Na mama ake akupasue kweli kweli.