Mama wa mpenzi wangu

Mama wa mpenzi wangu

Mama yake na huyo binti alikua anajaribu kukupima kama una ubavu wa kupambana na wanaume wenzako, ndiyo maana akawatuma hao vijana wakupige. Kwa kuwa umeshindwa kupambana na hao waliokupiga amegundua kuwa huna uwezo wa kumlinda binti yake. Kwa hiyo kaa kando utuachie sisi wababe wenye nguvu tumchukue...😎
 
haya njoo pm nikupe namba
 
Yaan kwa kifupi bado watoto kama mwenzio alienda kusema kwao na mama wa mwenzio akaenda kukusemelea kwa wazaz wako basi hitimisho subirni Mkue.
 
Ukome kupiga mtoto wa kike,dume zima na miguvu yako ya kusukuma caterpillars kwa mkono mmoja unampiga mtoto wa kike kuvunja biscuit kwake tatizo,miguvu hailingani.
Wewe wa wapi???
Na mama ake akupasue kweli kweli.
 
hahaha njoo pm nikupe namba ya demu anabigana boxer
 
Back
Top Bottom