Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Mtoto pini ile mbayaaaaaMtoto ameanza kua mrembo kukuzwa vyema mama ndo anaibuka kumtaka mtoto.
Me nahisi anataka kureconnect na mwanaye ili afaidike na vitu flani hapo mbeleni.
Au isije ikawa amesha ahidiwa mahari huko anaanza kujisogeza taratibu
View attachment 461675
Malawi .itakuwa ethiopia
somalia
sudan
kati ya hizi nchi
Kuwa na nidhamu kijana.Huyu mwanamke ni mpuuzi kuliko hata vichaa wa milembe!
Nitegemea angekuwa na maneno kama haya "Nataka ni onane naye ni muombe radhi kwa kumtelekeza na kudai eti nilikuwa nimefariki"
Umaskini unamtelekeza mwanao kisa pesa ?
Nani amepata kuzikwa na hizi mali dunia? Nani kazikuta hizi mali huko ahera?
sawaMalawi .
chizi Huyo kashaona mwanawe ana good life so anataka na yy asafirie nyotaHuyu mwanamke ni mpuuzi kuliko hata vichaa wa milembe!
Nitegemea angekuwa na maneno kama haya "Nataka ni onane naye ni muombe radhi kwa kumtelekeza na kudai eti nilikuwa nimefariki"
Umaskini unamtelekeza mwanao kisa pesa ?
Nani amepata kuzikwa na hizi mali dunia? Nani kazikuta hizi mali huko ahera?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani na mimi huku nilishakufa tangu mwaka 2011... nisaidieni jinsi ya kupata wazungu wa kuasili wanangu watano nimeshindwa kuwalea..
Pole kwa banhuyo mama atumiwe tu picha ya mtoto aitazame inatosha.
atuondolee ufyenze hapa.
kazuri jamani kaaahhhMtoto ameanza kua mrembo kukuzwa vyema mama ndo anaibuka kumtaka mtoto.
Me nahisi anataka kureconnect na mwanaye ili afaidike na vitu flani hapo mbeleni.
Au isije ikawa amesha ahidiwa mahari huko anaanza kujisogeza taratibu
View attachment 461675
Anataka kumharibia maisha mwanae maana atajua yote ya kuwa baba yake hajulikani na ni mbakaji. Kama anampenda mtoto wake asimharibie maisha.Hata miminiliwaza hivyo lakini after I read more nilimhurumia mama wa mtoto na nikatamani apewe nafasi ya kuongea au hata kumuona mwanae.
Inasemekana alibakwa akiwa 18 yo. Na baada ya kujifungua alinyang'anywa mtoto (kwa vyovyote kwa sheria za mila zao au dini kutokana na kwamba alikua hajaolewa na alikua mdogo)
Baadae mtoto alipelekwa orphanage ambapo Angelina ali my adopt baada ya kudanganywa kua mama was mtoto alifariki kwa ukimwi.
Labda ni kiss chenye ukweli ndani yake- Ukweli anao yeye.
Nitegemea angekuwa na maneno kama haya "Nataka ni onane naye ni muombe radhi kwa kumtelekeza na kudai eti nilikuwa nimefariki"
Umaskini unamtelekeza mwanao kisa pesa ?
Nani amepata kuzikwa na hizi mali dunia? Nani kazikuta hizi mali huko ahera?
Hahahaha ni kuasiliwa. Lugha gongana.
Kwa umaskini wa huyo mama Kiki itamsaidia nini?!>> Anatafuta KIKI >> Hii Rangi Nyeusi Hii .
Kuwa na nidhamu kijana.
Aliyekwambia Wagonjwa wa akili Mirembe ni wapuuzi ni nani?
Mnadhalilisha wagonjwa kwa maneno yenu ya kihuni.
Angekuwa ndugu yako kule mirembe ungemuita mpuuzi.?
Watake radhi km wewe ni binaadamu unaeishi Tanzania.