Easymutant
R I P
- Jun 3, 2010
- 2,564
- 1,133
Ushafika ahera?Huyu mwanamke ni mpuuzi kuliko hata vichaa wa milembe!
Nitegemea angekuwa na maneno kama haya "Nataka ni onane naye ni muombe radhi kwa kumtelekeza na kudai eti nilikuwa nimefariki"
Umaskini unamtelekeza mwanao kisa pesa ?
Nani amepata kuzikwa na hizi mali dunia? Nani kazikuta hizi mali huko ahera?