Mama wa mtoto Zahara aliyeasiliwa na Angelina Jolie aomba kukutana na mwanae

Mama wa mtoto Zahara aliyeasiliwa na Angelina Jolie aomba kukutana na mwanae

Huyu mwanamke ni mpuuzi kuliko hata vichaa wa milembe!
Nitegemea angekuwa na maneno kama haya "Nataka ni onane naye ni muombe radhi kwa kumtelekeza na kudai eti nilikuwa nimefariki"

Umaskini unamtelekeza mwanao kisa pesa ?
Nani amepata kuzikwa na hizi mali dunia? Nani kazikuta hizi mali huko ahera?
Ushafika ahera?
 
Mtoto ameanza kua mrembo kukuzwa vyema mama ndo anaibuka kumtaka mtoto.

Me nahisi anataka kureconnect na mwanaye ili afaidike na vitu flani hapo mbeleni.
Au isije ikawa amesha ahidiwa mahari huko anaanza kujisogeza taratibu

1484833532141.jpg
 
Mbona kama kanyarwanda!! Au naona na makengeza??
 
Mtoto lazima ipo siku atamfuata mama yake tu ili apate kusikia kisa kamili sio maneno ya kuambiwa na watu wengine. Mi nafikiri huyu mtoto ana bahati sana, angekulia maisha ya Orpanage Centre huko kwa Wahabesh saa hizi angekuwa mbuzi kalamba reli wala asingejulikana kama ni wa kike au wa kiume.
 
Ningekua ndio huyo mtoto wala nisingetaka sikia huyo anayejiita mama angu!!
 
Anataka kumozesha nini, waafrika die aliyetuloga kafa
 
Mtoto lazima ipo siku atamfuata mama yake tu ili apate kusikia kisa kamili sio maneno ya kuambiwa na watu wengine. Mi nafikiri huyu mtoto ana bahati sana, angekulia maisha ya Orpanage Centre huko kwa Wahabesh saa hizi angekuwa mbuzi kalamba reli wala asingejulikana kama ni wa kike au wa kiume.
Kwa kuwa mtoto nae ni actress ipo siku atacheza filamu kuhusu maisha yake dedicated to her Mother.
 
Back
Top Bottom