Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

Haujafikiria athari mbaya zinazoweza kumkuta rafiki yako akigundua umefanya jambo la hivyo na mama yake? Afadhali ungefanya hivyo na mke au girl friend wa rafiki yako.Ushauri wangu. Achana na uhusiano huo haraka,ili kuilinda afya ya akili ya rafiki yako. KOSA HILO RAFIKI YAKO HATA KUSAMEHE KABISA AKIKUGUNDUA.( amini usiamini nakuambia). Tafuta mwanamke wa umri wako,tena asiye na chenga chenga za ovyo ovyo kama hizo.
 
Mkuu nakuelewa sana. Nafikiri kufanya hivyo kabla mambo hayajaharibika. Nafikiri hata kutokuwa karibu na rafiki yangu sababu sijui nitamtazamaje
 
Mkuu nakuelewa sana. Nafikiri kufanya hivyo kabla mambo hayajaharibika. Nafikiri hata kutokuwa karibu na rafiki yangu sababu sijui nitamtazamaje
Kaa mbali na mama yake.Huo uhusiano si sahihi kabisa,utamuharibia rafiki yako afya yake ya akili.Kuhusu urafiki wenu,hapo itategemea jinsi mama huyo atakavyokuwa king'ang'anizi kwako.Lakini pia unaweza kumueleza huyo mama unamuacha kwa sababu zipi na ufanye hivyo kwa kukeep distance naye kabisa kabisa.Kumbuka yeye hapo hana plan B mambo yakisha haribika.
 
Toto jinga sn wewe
 
Situation za aina hii zinakuwaga tricky hapo hata ungemkataa angejenga bifu na pia angeanza kukuongelea vibaya kwa mwanae kiasi hata mwanae angeanza kushangaa kulikoni gafla inakuwa hivyo? Na kumbuka vyovyote itakavyokuwa angeamini anachoambiwa na mzazi wake kuliko utakavojitetea wewe.... Solution ya matatizo kama hayo mara nyingi ni ukishaona yameanza kutokea ujue ndio mwisho wa urafiki wenu huoo
 
Siku jamaa akija kujua sijui itakuwaje aisee. Japo sioni wa kuja kumwambia
 
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…