Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi, kipi nifanye kumuepuka?

Hata Mimi hicho nilikinotice japo sina uhakika

Mama mtu mzima..... 65yrs lkn ana shepu nzuri kama binti....

Japo nawapenda mabinti wenye umbo km huyo bi maza lakini aseeh 😂 ni changamoto

Nakumbuka mlinzi anayelinda home kwake akalalamika ofisini bi maza kukaa uchi.... Yeye mwendo wa kikoi afu na nne anakunja hahaha....

Jamaa akaambiwa a focus na kazi hamna namna

Sasa yule uzungu unamzidi
 
Una miaka mingapi?
 
Kwa mwendo huu shule zifunguliwe tu kwa kweli maana mitandao ya kijamii imechafukwa na kuingiliwa watoto wa 2000
 
Wazee wa dead ball hawaachagi kitu 😊☺️☺️
Yaan,
UNAPIGA KAMA ANDREW PIRLO... mpira unaokotwa nyavuni then mpira Kati ya dimba.

SEMA Mimi ikitokea nimefanyaga dhambi hujutia na kujilaumu Sanaa 🏃🏃🏃🏃
 
Ikiwa ni mtu wa hivyo Bora kujiweka mbali na kitu kitachoharibu amani ya moyo.......

Maake ukiona unafanya kitu unajutia ama kuumia Bora uachane nacho tuu mzee.....

Itakupa kujiamini, na kuwa na amani
 
Leta mrejesho huo mapema sanaa
 
Mbona nikisoma maelezo yako jinsi unavyomsifia huyo mama ni kama tayari umeshamuelewa. Au tayari ulishapitanaye. Mara kiuchumi hayuko vibaya, Mara mwili wake uko vizuri, Mara hana mume.... Aisee. Wewe sema tu ulishapiga.
 
Wewe ndio Fala,Mwanamke Hana mume,na wewe ni mtu mzima!.unakaa kwake mpaka usiku mlikuwa mnaongea nini?
Wewe ndio umemtia nyege,Fanya ukamtoe lock huyo mama upate thawabu.
Wamama kama hao ni salamu tu Kisha unapita kushoto,wewe unaenda unakaa mpaka jioni halafu unatafuta ushauri huku!
 
Vipi kumchana laivu unashindwa nini yaani unafki kila pahali, yeye mpaka kufika hapo alipofikia somehow somewhere umechangia. Utapoteaa
 
 
Jiheshimu! Achana na Mama wa Rafiki yako!
Rafiki yako akijua atakuchinja.
 
Kula kula huyo. Mpe utamu kamiss dudu. Mpe tu
 
Nisaidie mawasiliano yake nimkemee, ahsante
 
Kazi..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…