NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Kabla ya habari yenyewe chini huyu mama amerudi kwa sababu amepata habari watoto watajengewa nyumba ya kisasa na watasomeshwa na mzungu mmoja anayechimba madini ya graphite.
Ushauri wangu kwa polisi na mahakama msameheni huyu mama alee watoto wake maana mkimfunga mtawazidishia watoto machungu. Kama ni kujifunza amejifunza hakuna binadamu mkamilifu mambo ya mahusiano ni magumu, sasa endeleeni chini
Ulanga. Mama wa watoto watatu wa kike wa kijiji cha Gombe wilayani Ulanga mkoani Morogoro waliokuwa wametelekezwa baada ya wazazi wote wawili kuondoka kila mmoja kuoa na kuolewa amejisalimisha kituo cha Polisi Ulanga huku akiomba kurudi kuwalea watoto wake.
Julai 21 mwaka huu Mkuu wa Wilaya ya Ulanga, Ngollo Malenya alipowatembelea watoto hao aliagiza wazazi wawili, Thomas Ulanda na Adelyda Nakashawa wakamatwe.
Tangu wazazi hao waondoke, Elionida Ulanda (17) ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Celina Kombani amekuwa na jukumu la kuwalea wadogo zake.