Mama, wasamehe Dr Hamisi Kigwangala, na January Makamba wape hata UDC au ukatibu tawala

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,408
Reaction score
12,100
Mama pole kwa MSIBA wa Chicago, sijui chibaba mimi simjui vizuri yule bwana wa Zimbabwe.

Namshukuru Mungu alifika Zanzibari kukufariji kwa niaba ya Wazimbabwe ingawa kwenye picha alikuwa akicheka. Kana kwamba alifurahia kifo cha Baba yetu.

Mungu mwema, naye kasepeshwaa. Mama nakuomba umkumbuke Hamisi kigwangala walau umpe hata UDC ya ukatibu tawala wa wilaya

Pia mkumbuke January makamba jmn
 
Bila hao taifa halisimgi mbele? Oiga chini weka watu wanao weza kazi na sio kwa sababu wana majina kisiasa basi kila mara warudi hao hao
 
Mama pole kwa MSIBA wa Chicago, sijui chibaba mimi simjui vizuri yule bwana wa Zimbabwe.
Namshukuru Mungu alifika Zanzibari kukufariji kwa niaba ya Wazimbabwe ingawa kwenye picha alikuwa akicheka. Kana kwamba alifurahia kifo cha Baba yetu.
Mungu mwema, naye kasepeshwaa.

Mama nakuomba umkumbuke Hamisi kigwangala walau umpe hata UDC ya ukatibu tawala wa wilaya
Pia mkumbuke January makamba jmn
Washakula mema ya nchi sana hao.
 
Mama pole kwa MSIBA wa Chicago, sijui chibaba mimi simjui vizuri yule bwana wa Zimbabwe.

Namshukuru Mungu alifika Zanzibari kukufariji kwa niaba ya Wazimbabwe ingawa kwenye picha alikuwa akicheka. Kana kwamba alifurahia kifo cha Baba yetu.

Mungu mwema, naye kasepeshwaa. Mama nakuomba umkumbuke Hamisi kigwangala walau umpe hata UDC ya ukatibu tawala wa wilaya

Pia mkumbuke January makamba jmn
Kwan Mimi sio mtu kama wao? Kwa Nini msiniombee mm nipate kama wao zaman walivyokuwa na ajira? Watanzania wote ni sawa hakuna mwenye haki Zaid ya mwingne
 
Mama pole kwa MSIBA wa Chicago, sijui chibaba mimi simjui vizuri yule bwana wa Zimbabwe.

Namshukuru Mungu alifika Zanzibari kukufariji kwa niaba ya Wazimbabwe ingawa kwenye picha alikuwa akicheka. Kana kwamba alifurahia kifo cha Baba yetu.

Mungu mwema, naye kasepeshwaa. Mama nakuomba umkumbuke Hamisi kigwangala walau umpe hata UDC ya ukatibu tawala wa wilaya

Pia mkumbuke January makamba jmn
Hivi kuna ambae aliwahi kuwa full waziri akaja kuwa DC?
 
Mama pole kwa MSIBA wa Chicago, sijui chibaba mimi simjui vizuri yule bwana wa Zimbabwe.

Namshukuru Mungu alifika Zanzibari kukufariji kwa niaba ya Wazimbabwe ingawa kwenye picha alikuwa akicheka. Kana kwamba alifurahia kifo cha Baba yetu.

Mungu mwema, naye kasepeshwaa. Mama nakuomba umkumbuke Hamisi kigwangala walau umpe hata UDC ya ukatibu tawala wa wilaya

Pia mkumbuke January makamba jmn
Kwani hakuna wengine?
 
Yani kweli amekosekana mtu wa kupenyeza jina la Upendo Peneza kwenye mamlaka za teuzi!
 
Back
Top Bottom