Kumtoa madarakaniKumtoa madarakani au kumtoooo...
Mpaka sasa kwa hali yake sijui kama ataponaMjane,hana muda,sukari ipo juu, kwa sabsbu ya kufiwa na mume mchongo na Hawara kutoka Zimbabwe.
Soon,tutapata kiongozi mpya
Washakula mema ya nchi sana hao.Mama pole kwa MSIBA wa Chicago, sijui chibaba mimi simjui vizuri yule bwana wa Zimbabwe.
Namshukuru Mungu alifika Zanzibari kukufariji kwa niaba ya Wazimbabwe ingawa kwenye picha alikuwa akicheka. Kana kwamba alifurahia kifo cha Baba yetu.
Mungu mwema, naye kasepeshwaa.
Mama nakuomba umkumbuke Hamisi kigwangala walau umpe hata UDC ya ukatibu tawala wa wilaya
Pia mkumbuke January makamba jmn
Kwan Mimi sio mtu kama wao? Kwa Nini msiniombee mm nipate kama wao zaman walivyokuwa na ajira? Watanzania wote ni sawa hakuna mwenye haki Zaid ya mwingneMama pole kwa MSIBA wa Chicago, sijui chibaba mimi simjui vizuri yule bwana wa Zimbabwe.
Namshukuru Mungu alifika Zanzibari kukufariji kwa niaba ya Wazimbabwe ingawa kwenye picha alikuwa akicheka. Kana kwamba alifurahia kifo cha Baba yetu.
Mungu mwema, naye kasepeshwaa. Mama nakuomba umkumbuke Hamisi kigwangala walau umpe hata UDC ya ukatibu tawala wa wilaya
Pia mkumbuke January makamba jmn
Hivi kuna ambae aliwahi kuwa full waziri akaja kuwa DC?Mama pole kwa MSIBA wa Chicago, sijui chibaba mimi simjui vizuri yule bwana wa Zimbabwe.
Namshukuru Mungu alifika Zanzibari kukufariji kwa niaba ya Wazimbabwe ingawa kwenye picha alikuwa akicheka. Kana kwamba alifurahia kifo cha Baba yetu.
Mungu mwema, naye kasepeshwaa. Mama nakuomba umkumbuke Hamisi kigwangala walau umpe hata UDC ya ukatibu tawala wa wilaya
Pia mkumbuke January makamba jmn
Kwani hakuna wengine?Mama pole kwa MSIBA wa Chicago, sijui chibaba mimi simjui vizuri yule bwana wa Zimbabwe.