Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Mapadre wahuni sana, asije mfanyia mkeo maombi ya falaghani. Halafu si unajua wajawazito walivyo wamotokm ninyi ni wakristo nenden kwa padr ama mchungaj mumshirikishe awaombee na pia muwe na iman ya kuwa mtashinda. km ni waislam mmuone sheikh pia
toa kwanza picha yako hiyo nikujibuMke wangu ana ujauzito wa miezi mitatu, lakini tangu amekuwa na mimba
amekuwa akiendelea kupata hedhi, Pia anaota anafanya mapenzi na watu tofautitofauti kila siku.
Na kuanzia amekuwa mjamzito, nimepoteza kabisa uwezo wangu wa kiume, jogoo hawiki kabisa
Nilipoanza kusoma nilijua unatania!Nendeni kwa mganga especially mtoto wa sheikh Yahya Hussein hapo Magomeni bila hivyo matatizo yataendelea kwani si kwa kelele za maombi wala usanii wa kulia na ngoma kwa wingi
Nashauri hata uwe mbali wahi hapo kwa huyo mtoto wa Magomeni ili umaliziwe tatizo lako usidanganywe kwa maombi kwa waombaji wenyewe ni mamluki na wezi na hawana tena nguvu za imani toka kwa Mungu
Nilipoanza kusoma nilijua unatania!
nakubaliana na mawazo na uashuri mwingi mzuri ulitolewa ukiwemo huu hapa juu.lakini napenda kuongeza yafuatayoacha ujinga nenda kwa gyno haraka, hasa hilo la kutoka damu wakati mja mzito sio dalili nzuri, anaweza poteza ujauzito huo.
Japo kuna baadhi ya wanawake wachache ambao hupata hedhi hadi miezi 5 au 6 ya ujauzito.
Kuhusu kuota anafanya mapenzi na watu tofauti inaweza tokana na wewe kushindwa kumkuna kisawa sawa sababu jogoo wako hawiki. Sambamba na jogoo wako kutowika, kuna baadhi ya wanawake hamu ya ngono huongezeka maradufu wakati wa ujauzito au akishajifungua. Inawezekana hivyo vyote viwili vinapelekea mke kuwaza ngono muda mwingi mwishowe anaota.
Ukishaenda hospitali, uchanganye na sala utafanikiwa. Hata tunapokuwa waumini wazuri tutumie na akili za hospitali hata hao madaktari wanatimiza mipango ya Mungu.
Wewe kaka kuhusu jogoo kutokuwika, inawezekana umejijaza hofu ya majini mahaba, hedhi ya mkeo na mimba, utawikaje sasa?
Tumekuwa tukikemea sana na kusali sana, bado ngoma nzito