mama sidhani na yeye kama atachukua cku ndani ya chadema bila kufuata nyayo za mwanaye,mimi ni mfugaji na wafugaji wanajua ukitaka mfugo akufuate mchukue mwanaye.CHADEMA ni chama imara cha watu waliojikana nafsi zao kwa ajili ya kutafuta haki, waliozoea misukosuko ya kila aina kutoka kwa tawi la ccm jeshi la polisiMAMA SEPETU AFUNGUKA Mama mzazi wa Wema Sepetu amesema kitendo cha mwanae kurudi CCM bila kumuomba ushauri ni kitu ambacho kimemdhalilisha kama mzazi, asema yeye atabakia CHADEMA. Adai wanaomshauri mtoto wake hawamtakii mema kwani alipopata matatizo hawakumsaidia.
Mizugo jazz bandMAMA SEPETU AFUNGUKA Mama mzazi wa Wema Sepetu amesema kitendo cha mwanae kurudi CCM bila kumuomba ushauri ni kitu ambacho kimemdhalilisha kama mzazi, asema yeye atabakia CHADEMA. Adai wanaomshauri mtoto wake hawamtakii mema kwani alipopata matatizo hawakumsaidia.