Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
MAMA SEPETU AFUNGUKA Mama mzazi wa Wema Sepetu amesema kitendo cha mwanae kurudi CCM bila kumuomba ushauri ni kitu ambacho kimemdhalilisha kama mzazi, asema yeye atabakia CHADEMA. Adai wanaomshauri mtoto wake hawamtakii mema kwani alipopata matatizo hawakumsaidia.